Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mwamba alihusika katika magoli yote manne ya jana. Huyo mchezaji wenu atambue hapa Tanzania kuna mwamba mmoja tu. Kwa hiyo achukue muda mwingi ajifunze vitu kwa Mwamba wa Lusaka.
18 Reactions
120 Replies
6K Views
Hii mara nyingine tena nchi inaibika sababu ya club moja tu. Uwanja wa Mkapa una hadhi yake, unapoutumia tumia kuleta sifa sio aibu. Kwa sasa bora mkacheze Kirumba tu.
2 Reactions
6 Replies
371 Views
  • Redirect
Yanga kama anatakiwa afanikiwe kimataifa afanye yafuatayo- Atafute namba tisa wa uhakika, aachane na Mayele, Mayele kimataifa Ni kopo kabisa, yaani hamna kitu pale Morisson tupa nje Kocha piga...
2 Reactions
Replies
Views
Kila nikicheki kwenye ndarubini yangu naona yanga leo wakishinda zaidi ya goli moja Ila najiuliza sijui itakuwaje wakienda kule?
0 Reactions
10 Replies
543 Views
Nani ataibuka kidedea ngoja tusubiri mbungi Nawaona Club Africain wakioga mvua ya magoli === Mchezo huu wa kwanza wa kutafuta mafasi ya kufuzu hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho unafanyika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Huyu mchezaji sikumbuki kama aliachwa Simba au bado yupo. Ila ni muda sana sijamsikia. Mpaka nilipokuja soma hii post. Je kwenye mpira ndo basi tena? Je simba ndo basi tena?
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Kulikoni kuelekea Mechi ya Leo ukimya Umetawala sana kiasi kwamba hata zile Kauli Mbiu zetu za Uwongo na Kweli za Kutiana Hamasa za Kipuuzi hatujazikia wakati Leo tuna Mechi ngumu dhidi ya Club...
4 Reactions
20 Replies
901 Views
Ninachojua Marehemu Leo anaogeshwa Dar es Salaam (Tanzania) na Maziko yake yatafanyika rasmi Jijini Tunis (Tunisia) tarehe 9 Novemba, 2022. R.I.P Marehemu wa Kubebwa Tanzania NBC Premier League...
4 Reactions
21 Replies
837 Views
Yanga nawaombea sana washinde kesho pia waweze kuvuka. Wakivuka itakuwa vizuri sana kwasababu watabaki makundi na ratiba itawaumiza kama ambavyo Simba huumia. Wakitoka Simba tumekwisha maana sisi...
3 Reactions
49 Replies
2K Views
Ikiwa yamebaki masaa machache kuelekea mchezo wa Caf confederation cup utakaochezwa kesho jioni saa 10:00 Alasiri kati ya dar es Salam young African na club africain hali imekuwa tofauti kidogo...
14 Reactions
37 Replies
2K Views
Baada ya kuwafurusha Kipanga mabao saba, tumepewa hiki kikundi cha Wakongomani wa jangwani wanaoitwa Utopolo. Tujipange kwa ajili ya sherehe pale kwa Mkapa na hitimisho kule Tunis.
16 Reactions
64 Replies
3K Views
Mpaka leo wachora katuni hutumia picha ya Kandambili kuwakilisha timu ya Yanga. Nakumbuka ni utani kati ya Yanga na Pan African, ndiyo ulileta jina la Kandambili Yanga na Raizoni Pan African...
7 Reactions
44 Replies
2K Views
Habari za mda huu wakuu Nmekuja kuandika kuhusu mechi ya leo ya Yanga Naona wanajisahau kwa kuona club Tunis ni ya Kawaida baada ya kufungwa 8 na TP mazembe . Nawakumbusha tu yanga. Wao sio...
1 Reactions
13 Replies
610 Views
Kilichonifanya GENTAMYCINE niulize hili ni kwamba Gari yake ina miezi Mitatu sasa ni Mbovu ila leo iko Mtaani anapiga nayo Misele na Rangi kaibadilisha pia. Pia kuna Viwanja Vinauzwa huko Chanika...
2 Reactions
9 Replies
602 Views
Kwa nyakati tofauti Mbunge wa Kahama Mh Kishimba na Mbunge wa Geita vijijini Mh Joseph Msukuma waliwahi kuomba bangi ihalalishwe kama zào la Biashara ikilimwa kama dawa. Lakini kitendo...
8 Reactions
42 Replies
2K Views
Hongereni Simba kwa kusonga mbele group stage. Leo mechi niliiangalia kwa hawa viungo wa kati wa simba Mzamiru Yasin na Kanoute a.k.a Putin. Kwanza majina yao ya utani yanaakisi wanachokifanya...
10 Reactions
17 Replies
1K Views
Ile kupigwa Kama ngoma ndo kesho. Yanga niliwambia msim huu mtapanda ndege Mara mbili tu baada ya Apo Ni mwendo wa Bus Yutong , bajaji, boda, bolt. Mngepanda ndege walau Mara tatu lakin wale...
15 Reactions
65 Replies
3K Views
Wasalam wana JF, Wakati tunajiandaa kuwashuhudia ndugu Watanzania wenzetu hapo kesho kwenye mtifuano wa shirikisho, tuangazie wafungaji bora wa ligi yetu kwa misimu mitano iliyopita. Hii...
9 Reactions
9 Replies
587 Views
Ilikuwa kwa Mkapa, asee Hilal waliposawazisha, Kamera ilimuonesha Injinia Hersi akivuta pumzi ya Moto!
1 Reactions
10 Replies
777 Views
Mimi siyo wa kulalamika but nimefatilia uchezaji wa MAKAMBO na KISINDA kwa msimu huu hakuna kitu wanaisaidia timu bora wapelekwe hata Simba SC kwa mkopo. Ni kweli sisi ni unbeaten, Tunaongoza...
15 Reactions
49 Replies
2K Views
Back
Top Bottom