Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mimi ni Yanga na niwe wazi tu siuungi mkono maamuzi mabovu ya Waamuzi na huwa najiuliza ni hatua gani huchukuliwa kwa waamuzi wanaofanya maamuzi mabovu? Binafsi ndio maana siku zote mimi huwa...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Baada ya kuitazama Kwa makini mechi ya Yanga na Geita hapo Jana, niligundua ya kuwa Azam sports walifunga kamera upande wa magharibi tu wa uwanja na kufanya matukio makuu yasionekane Kwa ukaribu...
0 Reactions
9 Replies
686 Views
Inauma sana asee, Refa anatoa maamuzi kwa hisia, ama kweli nchi hii ina watu wa hovyo. Maamuzi ya Refa kutoa penaiti dhidi ya Geita Gold hakika hayakuwa sawa. Mchezaji amepigiwa mpira ukafuata...
13 Reactions
69 Replies
4K Views
Ili kutendea haki timu zingine, ni bora mechi wanazoshiriki Simba na Yanga zichezeshwe na waamuzi kutoka nje ya nchi. Najua itakuwa ni changamoto kutekeleza hili wazo, ila huu ndio ukweli...
4 Reactions
47 Replies
3K Views
Swala la Simba na Yanga kubebwa na marefa ni kitu endelevu na haitatokea siku itaisha. Leo Simba wanawazomea Yanga kwa kupewa penati isiyo ya halali kesho hao hao Simba watafunga goli la offside...
2 Reactions
31 Replies
1K Views
Kwanza sifa zote ziende kwa mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kunipa pumzi, Alhamdullilah. Tulidharauliwa sana. Kipindi naenda kusoma ndugu walikaa kikao wakawa wanasema "unapoteza muda tu, hiyo...
5 Reactions
21 Replies
1K Views
Akina GENTAMYCINE tukiwa tunasema kuwa kwa sasa Klabu ya Yanga imejipanga vyema hasa kwa upande wa Propaganda muwe mnaelewa/mnatuelewa. Ukweli ni kwamba Yanga SC siyo wapumbavu kama labda ambavyo...
18 Reactions
66 Replies
4K Views
Uzembe wetu na kufungwa kipumbavu na Azam FC juzi umeshatugharimu na leo ndiyo tunaenda rasmi kuachwa kwa alama (points) tatu (3) na Yanga SC. Na hata kesho kuna uwezekano Mtibwa Sugar FC naye...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
𝗧𝗛𝗔𝗡𝗞 𝗬𝗢𝗨 | 𝗙𝗥𝗔𝗡𝗖𝗜𝗦 𝗕𝗔𝗥𝗔𝗭𝗔 Uongozi wa Kagera Sugar Football Club umefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Fransic Otieno Baraza. Uongozi wa klabu unapenda kumshukuru...
0 Reactions
4 Replies
674 Views
Hawa jamaa waliujua mpira bana. Maana kama ni wingi ya kushoto au kulia ilikuwa lazima mtu akae. Nilikulia jirani na mitaa ya Ghana Mwanza na hapa ilikuwa karibu na CCM Kirumba. Hawq jamaa...
0 Reactions
0 Replies
596 Views
Hii tamthilia inaendelea na wapenzi wa tamthilia hii wameamini kuwa huenda ni true story. Mtengenezaji na mwongozaji wamejitahidi kwa viwango vya hali ya juu sana. Hii imekuwa nzuri kibiashara...
1 Reactions
19 Replies
806 Views
  • Redirect
Hii penati ya Yanga dhidi ya Geita mtu ameunawa mpira nje ya eneo la 18 kabisa kisha Refa akaamua iwe penati, siyo sawa hawa waamuzi wetu hawa!
0 Reactions
Replies
Views
Sisi tunaoifahamu Simba bila ushabiki oya oya tunajua kuwa wachezaji wetu wengi ndani ya Simba hawawezi kutoa ushindani, lazima uongozi, wapenzi, mashabiki na wanachama wakubali kuwa kikosi chetu...
0 Reactions
12 Replies
986 Views
  • Redirect
Kwa nini Yanga anabebwa kwenye mbeleko ambayo hata kipofu anaona aibu? Kuna haja ya TAKUKURU kuingilia kati maana hii ni harufu ya bahasha la kaki kwenye umati wa watu.
3 Reactions
Replies
Views
Ilikuwa mechi ngumu sana iliyojaa ufundi na kukamiana na mwishowe ESS ikafanikiwa kushinda kwa uzembe wa mabeki. Timu za ukanda cecafa zinajifunza nini?
1 Reactions
42 Replies
5K Views
Hali hiyo inaweza kutokea ikiwa ni mwezi mmoja tu umesalia kabla ya kuanza kwa michuano hiyo Nchini Qatar kama Serikali ya Tunisia itaendelea kuingilia masuala ya soka. Onyo hilo limetolewa na...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu jana nimelipia pesa kwaajili ya mechi ya Yanga dhidi ya Geita kwa bahati mbaya nimepata shida, sitoweza kufika uwanjani. Je, pesa yangu itabaki kwenye kadi au ndiyo imepotea hivyo? Mwenye...
0 Reactions
2 Replies
639 Views
Siku ukisikia hawa jamaa wamefungwa na timu za ndani, ujue pesa zilizochotwa kwenye viroba kipindi kile zimeisha. Kwa sasa wala hamna sababu ya kutarajia hawa jamaa kuwa watapoteza mechi yoyote...
3 Reactions
36 Replies
1K Views
Inashangaza sana mara baada ya beki aliyeisha makali yake, Joash Onyango kupeleka ombi la uhamisho kwa uongozi wa Klabu ya Simba, mambo yakaanza kubadilika kwa beki gwiji raia wa Ivory Coast...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Ni bandika bandua leo katika uwanja wa Benjamin Mkapa, pale miamba ya soka Afrika mnyama mkali mwituni wekundu wa msimbazi, watakapo karibishwa na matajiri wa Azam FC katika kuwania pointi 3...
11 Reactions
630 Replies
31K Views
Back
Top Bottom