Huu hapa uhalali wa goli la Yanga dhidi ya Geita

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,203
27,326
Mchezo wa mpira wa miguu ni mchezo wa makosa.

Makosa yanaweza kufanywa na yoyote anae husika moja kwa moja na kinacho fanyika ndani ya pitch.

Makosa yanaweza kufanywa na mchezaji.

Makosa yanaweza kufanywa na kocha (kwa kupanga kikosi vibaya au kufanya sub isiyo merit)

Makosa yanaweza kufanywa na refa au lines man.

Jukumu na wajibu wa kila mchezaji ndani ya uwanja ni kuyatumia vizuri makosa hayo kwa faida ya timu yake achilia mbali kuwalazimisha washindani wake pamoja na refa na lines man kufanya makosa hayo ili aweze kuyatumia vizuri.

Kwenye mechi ya jana, Refa kafanya makosa, Yanga wameyatumia vizuri makosa yaliyo fanywa na refa.

Yanga wasilaumiwe KWA kuyatumia vizuri makosa yaliyo fanywa na refa uwanjani.

Ulaumiwe mchezo.
 
asante jiesiemu kwa kufanya muamala wa kufa mtu wa tigopesa kwa refa kipindi cha half time.
 
Mchezo wa mpira wa miguu ni mchezo wa makosa.

Makosa yanaweza kufanywa na yoyote anae husika moja kwa moja na kinacho fanyika ndani ya pitch.

Makosa yanaweza kufanywa na mchezaji.

Makosa yanaweza kufanywa na kocha (kwa kupanga kikosi vibaya au kufanya sub isiyo merit)

Makosa yanaweza kufanywa na refa au lines man.

Jukumu na wajibu wa kila mchezaji ndani ya uwanja ni kuyatumia vizuri makosa hayo kwa faida ya timu yake achilia mbali kuwalazimisha washindani wake pamoja na refa na lines man kufanya makosa hayo ili aweze kuyatumia vizuri.

Kwenye mechi ya jana, Refa kafanya makosa, Yanga wameyatumia vizuri makosa yaliyo fanywa na refa.

Yanga wasilaumiwe KWA kuyatumia vizuri makosa yaliyo fanywa na refa uwanjani.

Ulaumiwe mchezo.
Mtu anayejua soka hawezi kusema goli la Yanga Lina makosa, Ila penati waliyopewa si halali.
 
Mtaishia kusingizia watu,mwaka Jana nao ubingwa tulicchukua hivyo nna miaka saba mfululizo tutachukua mkiwa mnasingizia miamala,wenzenu unbeaten kuelekea match 50
un beaten kwenye ligi ya mbambamba nyingi.
kimataifa kunaonyesha uhalisia kwasababu kule akuna makando kando.
 
Kimataifa hakuna makandokando??acha uongo mpira hauchezwi gizani,tunaona timu zinavyopendelewa zikiwa kwao sio nyinyi manyonyo wala sio ahly, makandokando yapo tena caf ndo yamejaa,mara ngapi tunaona mnapewa magoli taifa?na timu nyingine kunyimwa hata penalty tu
 
Unbeaten wa mchongo kimataifa hatoboi sababu kule hamna mchongo huo ndio ukweli.
 
un beaten kwenye ligi ya mbambamba nyingi.
kimataifa kunaonyesha uhalisia kwasababu kule akuna makando kando.
Man city ni timu tishio England lakini UEFA wanasota na hatujawahi kusikia wanaambiwa ligi ya mbambamba. Wewe kama huna uwezo kaa pembeni usizushe uongo usiokuwepo. Liverpool anasota England Hadi Leeds anajipigia lakini akienda UEFA Ajax wabrazil wa Ulaya wanakaa.
 
Back
Top Bottom