Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

"Nchi zingine zote Vilabu vyao vikiwa vinashiriki Michuano ya Kimataifa huwa hawachezi Ligi Kuu zao mpaka wazimalize ila kwa hapa Tanzania ni kinyume hivyo sijui Kesho itakuwaje kwani tuna...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Hapa mashabiki wa Yanga wanaandaliwa kiakili
9 Reactions
31 Replies
2K Views
Kocha huyo wa Super Eagles, Jose Peseiro aliyeajiriwa Mei 2022 anadai jumla ya Dola 420,000 (Tsh. Milioni 979 kwa kuwa kwa mwezi anatakiwa kulipwa Dola 70,000 (Tsh. Milioni 163). Chini ya Sheria...
0 Reactions
1 Replies
530 Views
Kupitia kipindi cha dakika 90 cha azam tv ali aliweka wazi kuwa kuanzia sasa angapenda kutambulika kama meneja wa habari na mawasiliano wa klabu ya yanga.. Namnukuu”kwanza niweke wazi,hapo awali...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Mungu ni mkubwa najua anaenda kujibu maombi yetu mashabiki wa SIMBA pale tutakapo shuhudia marefa makini wakichezesha mechi ya UTOPOLO na Club Africans,tunajua haki itandeka kwenye hiyo mechi ni...
8 Reactions
22 Replies
994 Views
sina mengi , Tayari tarehe mbili Imefika naamini Kabisa Ile Nguvu Yanga wanayotumia wakikutana na Simba, Wakiitumia angalau nusu yake tu basi wanaingia makundi! Kama Kuna ahadi , au mambo...
3 Reactions
6 Replies
629 Views
Huwa nakereka sana hawa jamaa wanaochambua soka la bongo wanavyopambana kufa na kupona kuongea kiingereza. Hivi hawawezi kuchambua mpira bila kuingiza hivyo viingereza vyao vya ugoko? Badala ya...
14 Reactions
65 Replies
3K Views
Azam alishinda goli moja bila dhidi ya simba ni katika mchezo mzuri wa kuvutia ambapo timu zote mbili kila moja zilionyesha uwezo na thamani halisi ya usajili wao mechi iliotuacha tukizitathhmini...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
What position is the hardest to play in football?
0 Reactions
4 Replies
403 Views
Baada ya mashabiki kulalamika kwamba marefa wanahongwa kuruhusu magoli ya mchongo, sasa wapuliza filimbi hao wa mchongo wamekuja na mbinu nyingine: kudhoofisha timu kiakili na kimwili kwa kuwalima...
2 Reactions
16 Replies
692 Views
Me nafikiri ni nafasi ya kiungo mkabaji. Imagine unatakiwa ukabe, ufanye interception, ufanye blocking, tackling na bado uanzishe mashambulizi kwenda langoni kwa mpinzani wako. Ukizubaa ndio timu...
7 Reactions
57 Replies
4K Views
Kama kweli mnataka tufanye vizuri kimataifa tuache kuhonga marefa. Tunafanya sajili kubwa na za gharama, tunaajiri waalimu na kuwalipa mishahara mikubwa sasa kwa nini tumeendekeza bahasha na...
7 Reactions
20 Replies
1K Views
Mimi ni mwanamichezo, mwana Simba SC lia lia na napenda utani na utani wetu wa Simba na Yanga ila sipendi na sifurahii upumbavu (Upan'gang'a) pale ukitokea. Nitamshangaa na nitawashangaa pia...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari waungwana, Leo kidogo tupate nafasi ya kusemea mambo ya michezo hasa huu mchezo pendwa, mchezo wa mpira wa miguu. Kifupi tuseme mchezo wa mpira wa miguu kwa ngazi ya ligi yetu inafanya...
1 Reactions
6 Replies
523 Views
Nimejaribu sana kufuatilia wachezaji wanaovaa mamba 17 hapa kwetu na baadhi wa huko ulaya, nimegundua hawa wachezaji huwa na ufundi sana na wanajua sana, ni nadra sana kumkuta mchezaji anavalia...
0 Reactions
12 Replies
732 Views
Ndg Wana JF ... Utafiti nilioufanya mwaka jana, niligundua mashabiki wa Simba ni sawa na waaumini wa ufufuo na uzima. Huwezi kushindana nao kwa kubishana. Hizi Ni baadhi ya sifa za makolo 1...
7 Reactions
86 Replies
2K Views
Kwa nyakati tofauti Mbunge wa Kahama Mh Kishimba na Mbunge wa Geita vijijini Mh Joseph Msukuma waliwahi kuomba bangi ihalalishwe kama zào la Biashara ikilimwa kama dawa. Lakini kitendo ulichofanya...
1 Reactions
0 Replies
215 Views
Sijasikia taarab kuhusu zile red card zilivyokuwa zinamwaga kama njugu jana. Je bahasha zimefanya kazi yake? Wale wale wapika tuhuma na majungu wamejikausha kama vile hawapo duniani. Ifike...
3 Reactions
14 Replies
821 Views
Nafikiri sasa tutaongea lugha moja ya kwamba yanga kucheza michezo 44 bila kufungwa sio jambo jepesi kama wanavyodhani wale mbumbumbu, unatakiwa uwe na kikosi cha maana na kipana kufikia iyo...
15 Reactions
77 Replies
3K Views
Naweka hapa nukuu niliyoambiwa na mmoja wa mjumbe wa kamati yao maalum ya unyangindo (uchawi) juu ya kupendelewa kwoo jana na Mwamuzi (Referee) hadi kushinda kwa janja janja sana. "GENTAMYCINE...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom