Naombeni msaada tafadhali mwanangu hataki kula kabisa ana miezi 11 na alikataa ziwa akiwa na miezi 6.. yaani kula mpaka umkabe natumia nguvu nyingi kumkaba mpaka nahisi namuumiza.
Hataki maziwa...
Quinine yasababisha mtoto kuzaliwa kiziwi
Na Veronica Romwald, Dar es Salaam
MATUMIZI yasiyo sahihi ya dawa zenye sumu kali ikiwamo Quinine inayotibu malaria imetajwa kuwa hatari kwa sababu...
habari za kutwa wakuu..
jamani muda kama wa nusu saa iliopita nmepatwa na hali ambayo sijaielewa.
Gafla tu moyo umeanza kwenda mbio sana
alafu nikainuka nilipo nikawa sijielewi nataka kufanya...
Jaman wana forum naomben msaada nina tatizo la kutokwa na uchafu mweupe kwenye uume kwa muda mrefu tatizo hilo huambatana na maumivu makal chin ya kibofu nilienda hospital wakanipima docter...
Habari za mchana, Nina tabia ya kugugumia Maji lita moja na nusu kwa mkupuo na Hapo nakuwa nimemaliza hadi wakati wa Kulala ndio nakunywa tenants. Je Tabia hii ya kugugumia kiasi hicho cha Maji ni...
Nlipata tatizo la kisonono tangu mwaka jana mwezi wa 11, nikaenda hospitali nikachomwa ceftri 5 hazikusaidia hata kidogo, nikaenda kwa dr mwingine akanipa tetrac na metro tatizo likakata kwa wiki...
Habari wakuu ndani ya JF,
Nina mpenzi wangu sijajua anatatzo gani? Tunataka tuwe na mtoto tatizo ikifika siku za uhakika za kushika mimba tunasex alafu baada ya siku tatu au nne tukijua mimba...
Ndugu wana jamvi,ninaomba kujuzwa dawa ya kumaliza tatizo hili.Nimekwisha tumia dawa mbalimbali lakini tatizo bado lipo palepale.Naomba anaye fahamu please anisaidie.
Je mafuta ya Cod liver maarufu kama SevenSeas yanafaa kuwapa watoto wa chini ya miezi sita? Naomba mwenye uzoefu nayo....faida na hasara zake.....na dozi sahihi....asanteni!
Wana JamiiForums,
Nilikuwa nauliza swali moja,
Mimi niko kwenye mahusiano kwa kipindi kuna changamoto niliyokutana nayo hivi karibuni nilikuwa na mpenzi wangu katika hali ya kutaka kufanya tendo...
Naombeni ushauri wife ana mimba ya miezi 6 sasa katoka clinic ananiambia docta kuangalia kaona mimba ipo kwa juu upande sasa hii imenipa wasiwasi sana je tatizo gani linaweza kutokea na...
Nawasalimu Wanabodi Wote Humu.
Ningependa Ikiwa Kuna Mtu Yoyote Anayejua Haya Matunda Hapa Nchini Yanalimwa Wapi Na Faida Zake ?
Nilisikia Baadhi Ya Watu Wanasema Yanasaidia Kusafisha Kidole...
Habari wanajamvi..
Utafiti uliofanywa na Dk Brian unaonyesha kuwa uvaaji wa chupi au boxer wakati wa kulala ni hatari kiafya kwa watu wote.
Baadhi ya madhara hayo ni Ugumba na maambukizi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.