Shiriki katika Tafiti Fupi (na asante upewe)

Impatient Pessimist

New Member
Aug 17, 2016
3
0
study_participants_0.jpg

Tunajaribu kutafuta ufumbuzi wa upatikanaji wa ushauri na habari za kiafya kwa ubora zaidi kuliko ilivyo sasa. Utafiti wetu umeonyesha kwamba ni tatizo kwa wengi wetu kupata ushauri au habari za kiafya ambazo ni hakiki, na za kuaminika, na katika muda muafaka kwetu. Ndio maana tumefikiria kutengeneza nyenzo ambapo mtu anaweza kupata huduma hii, kutoka kwa daktari (live) na vinginevyo, kupitia mtandaoni kwa njia ya simu au kompyuta.

Ili kuhakikisha huduma hii inalenga mahitaji ya mlengwa na kutatua matatizo yake, tunafanya tafiti lenye dhumuni ya kujaribu/”test” dhana ya huduma hii. Kukushukuru kwa muda na maoni yako,tutakutumia kiasi cha Tshs 20,000 kwenye account yako ya mPesa pindi tu mahojiano yatakapokamilika.

Tunatafuta watu wenye sifa zifuatazo kushiriki katika mahojiano na sisi tarehe Sept 7 mpaka 12.

Kama una sifa hizi, tuma information zifuatazo kwa email kwenda info@hilgroupltd.com. Siku ya mwisho kujiunga Sept 6, 2016

Jina Lako:

Simu Yako:

E-Mail Yako:

Tarehe Muafaka:

Muda Muafaka:

HATUTAGAWA contacts zako! Hii ni ili timu yetu iweze kuwasiliana na wewe kukamilisha mipango ya mahojiano.

Asante na siku njema!

Tunajali because Afya ni Maisha Yako
 
View attachment 392553

Asanteni sana! Tumefikia idadi ya watu tunaohitaji wa tafiti hii. Hatutachukua wengine kwa sasa. Ila tutakuwa na tafiti nyingine muda mwingine. Ukipenda kushiriki, tuandikie. Asante kwa ushirikiano wanajamii.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom