Zuzu plus plus

Zuzu plus plus

IrDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2010
Posts
745
Reaction score
360
Mwanamke zuzu alikuwa na mchumba wake zuzu kama yeye, lakini mwishowe uhusiano ulivunjika. Sasa huyo jamaa alikuwa akimsumbua sana kumpigia na kumtumia sms na yule mwanamke kwa simu kila siku, mpaka huyu mwanamke akawa anachukia,mwisho akaamua abadilishe laini, alipotia laini ile mpya tu akamtumia sms yule jamaa kwa kumwambia: nishabadilisha namba hutonipata tena hasidi wewe. nae yule jamaa zuzu akamjibu: "nitahakikisha naitafuta hio namba yako mpya, hata chini ya ardhi mpaka niipate."
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom