Zuzu na Watoto

Zuzu m1 kapita sehemu fulani akawakuta watoto wanacheza akawadanganya;
'Nyie nendeni kule kunachakula kinagaiwa' Wale watoto wakatimua mbioooo.
Zuzu akajisemea moyoni, "mbona wanakimbia sana labda kunachakula kweli"
Nae mbio!

Aiseee! nimepita 2 ila nimecheka xna.
 
Anauzamani wa JF ila si wakuishi duniani, sisi wa zamani babuzetu walikuwa wanatupa hadisi ileile miaka nenda miaka ludi na wakati mwingine unamkumbusha babu tuhadisie ile ya masala kulangwa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…