sio vizuri kukatishana tamaa humu JF na kutoleana maneno ya kumkatisha mtu tamaa eti VICHEKESHO VYA ZAMANI NA AMBAVYO HAVINA MASHIKO. vichekesho ni vichekesho hata viwe vya zamani kiasi gani bado ni vichekesho sasa hayo mashiko unayoyataka wewe hayapo kwenye jukwaa hili, sio vizuri kabisa kumbuka kuwa JF kila siku kuna new registered members