Zunguka zunguka Bar

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,331
Reaction score
38,691
DAH
siamini lakini ndio ukweli uliopo niko msiban huku marangu

Kama ujuavyo nikakuta timuya watu nkafyata mkia kufika nakuta bar

Imeandikwa

Zunguka
Zunguka

Bar

Loh wachaga nko fit bana
 
(Zunguka zunguka zunguka zunguka )eeehhhhhhhhhh
 
Mkuu Pdidy dada yetu Messe mnampumzisha lini?

Mkuu tumetoka kumlaza nyumba yake yakeyamilele

Ndio tunapatakamboga cha kulalia sasa nimeletwa bar ina majina ya nyimbo za Mungu naogopa
 
Last edited by a moderator:
Mbona kule Dodoma karibu na chuo fulani kuna mgahawa umeandikwa "Toroka Uje Ule" mgahawa!!
 
Mkuu tumetoka kumlaza nyumba yake yakeyamilele

Ndio tunapatakamboga cha kulalia sasa nimeletwa bar ina majina ya nyimbo za Mungu naogopa

Pole sana Pdiddy, uwahi kurudi, tunakutegemea sana Top Garage!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…