Zungu ndani ya kiti for first time

Zungu ndani ya kiti for first time

Godwin Mneng'ene

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
215
Reaction score
86
Leo jioni kikao cha Bunge kinaongozwa na Mhe Zungu,
kwanza nampongeza kwa kumreplace simbachawene.
ngoja tumcheki busara zake , asije kuwa kama Mh Silvesta Masele Mabumba, huyu jamaa akiongozaga
vikao vya bunge huwa anachemshaga sana.
 
bado anapasoma vizur
but yupo poa mpaka sasa....
 
Msije baadaye mkaanza kumtukana.
The unseen is illustrated by the seen.
 
Aaa wapi hamna kitu apo, hivi kweli ccm msimu huu mmepania kutuwekea viongozi wa bunge wenye same level of thinking, kwanini?
 
Watajadili juu ya watuhumiwa wa kusafirisha madawa ya kulevya???
 
Back
Top Bottom