Zungu ndani ya kiti for first time

Godwin Mneng'ene

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
215
84
Leo jioni kikao cha Bunge kinaongozwa na Mhe Zungu,
kwanza nampongeza kwa kumreplace simbachawene.
ngoja tumcheki busara zake , asije kuwa kama Mh Silvesta Masele Mabumba, huyu jamaa akiongozaga
vikao vya bunge huwa anachemshaga sana.
 
Msije baadaye mkaanza kumtukana.
The unseen is illustrated by the seen.
 
Aaa wapi hamna kitu apo, hivi kweli ccm msimu huu mmepania kutuwekea viongozi wa bunge wenye same level of thinking, kwanini?
 
Back
Top Bottom