Na kweli Jamaa usela umemzidi sijui ndio kukulia kariakoo......Ila pengine huo usela wake ndio unamfanya tumpende akiwa pale mbele,Jamaa namkubali kiaina ila ndio CCM tena.
Na kweli Jamaa usela umemzidi sijui ndio kukulia kariakoo......Ila pengine huo usela wake ndio unamfanya tumpende akiwa pale mbele,Jamaa namkubali kiaina ila ndio CCM tena.
Yule speaker hawezi kazi ni mtu wa kuanzisha mavurugu na vijembe tu! Ametudhihirishia kuwa wanawake hawawezi hata wakiwezeshwa! Lijamaa(Zungu) likikaa pale linatokelezea kinomanoma, huwa napenda sana uendeshaji wake wa vikao! Sijui alikuwaga wapi muda wote achukue nafasi ya Speaker! Wabunge wote wanamheshimu, si wa CCM wala UKAWA, jamaa anajua kubalance na kudhibiti mihemko ya wabunge!
Zungu ni kiongozi wa kuzaliwa! ameweza sana kuongoza bunge vema sana! na kila akipata nafasi ya kuchangia huwa hamumunyi maneno katika kutete haki ya wananchi wa Dar es Salaam... Ameweza sana kuikomalia Issue ya UDA, Maji na Kigamboni Saga! Wabunge wa Dar es salaam nawapongeza sana kuweza kuungana kuwatetea wananchi wao... Kificho nae nilimfagilia sana, aliweza kumzidi Samwel Sitta kwa mbali sana ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.