Bob Kawari JF-Expert Member Joined Feb 1, 2015 Posts 1,231 Reaction score 1,624 Jun 25, 2015 #2 Hahaaaa!! Ngariba haogopi mkojo
20PROFF JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 8,217 Reaction score 7,263 Jun 25, 2015 #3 Mmh, hadi hawa waheshimiwa wana maneno ya kiswazi
KIOO JF-Expert Member Joined Mar 3, 2013 Posts 6,249 Reaction score 5,963 Jun 25, 2015 #4 Haya, sie yetu macho.
A Awo JF-Expert Member Joined Apr 12, 2010 Posts 792 Reaction score 477 Jun 25, 2015 #5 Halafu bango limeshikwa na kina mama. Only in Tanzania. Upande huu unapinga tohara ya wanawake, huku unasifia ngaliba!
Halafu bango limeshikwa na kina mama. Only in Tanzania. Upande huu unapinga tohara ya wanawake, huku unasifia ngaliba!
barafu JF-Expert Member Joined Apr 28, 2013 Posts 6,739 Reaction score 32,945 Jun 25, 2015 Thread starter #6 Awo said: Halafu bango limeshikwa na kina mama. Only in Tanzania. Upande huu unapinga tohara ya wanawake, huku unasifia ngaliba! Click to expand... Yaani hapa jamaa hakupata mshauri wa uandishi wa Bango...maana itaonekana kwake Ungaliba ni kawaida Ngaliba Dume njoo huku unaitwa Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Awo said: Halafu bango limeshikwa na kina mama. Only in Tanzania. Upande huu unapinga tohara ya wanawake, huku unasifia ngaliba! Click to expand... Yaani hapa jamaa hakupata mshauri wa uandishi wa Bango...maana itaonekana kwake Ungaliba ni kawaida Ngaliba Dume njoo huku unaitwa
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Jun 25, 2015 #7 Inategemeana na mkojoleaji....
Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,504 Reaction score 6,199 Jun 25, 2015 #8 Mkojo upi sasa? Hawa akina mama hawa wana hatariiiii
P Percival JF-Expert Member Joined Mar 23, 2010 Posts 4,014 Reaction score 3,110 Jun 25, 2015 #9 Siasa hizi ni maajabu tu