Mwezi mchanga'no signal'..dish litakuwa limeyumba
kweli kaka unaweza kuta alijaribu pia kutoa stress kwa kuvuta bangeMwezi mchanga
ikiharalishwa mbona itakuwa hatariBangi sio nzuri. Ila yule mbunge anataka iharalishwe
Hahhahahaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Amavubi anafahamika hapa jukwaani kwa avatar ya kandambili ziwe mpya, chakavu, ziko nje ya ATM au zimefungwa kwa kufuli la Solex.
Hivi karibuni amebadili Avatar ndio maana ikabidi nihoji, hiyo ni kutokana na kuona jamaa anazivua kandambili kama Samaki?
Tena balaa kubwa si kitotoikiharalishwa mbona itakuwa hatari
Kuna mh bungen anataka ihalalishwe!!Huyu tayari..au bange
Hiki ndio kipaumbele cha wananchi wapiga kura wake? ??naye tayariKuna mh bungen anataka ihalalishwe!!