Zuma: AU bila Gaddafi ni afadhali!

Wabongo tunachekesha kweli!nina uhakika hata hiyo speech umeisikiliza BBC au CNN au etc na hatuchelewi kusema imepandikizwa! Kwa tukio baya hatuna source ingine ya habari zaidi ya CNN, BBC, Aljazeera,AFP, etc, the so called vya kimagharibi na kamwe haiwezekani kila mtu aende physically akajitafutie ukweli wake mwenyewe. Inteligensia yetu iko bize na CHADEMA.Sasa masikini sie kila kitu tunasema wanatudanganya lakini hatuachi kuendelea kuwasikiliza kila kukicha.
The truth remains wao ni reporters, they report to the best of them, kinachobakia "changanya na zako".

Mkuu hii ni BBC au CNN?
The Presidency | Address by His Excellency, President of the Republic of South Africa, Dr. Jacob Zuma on Aspects of South African Foreign Policy at the University of Pretoria

Ungeipitia hii unafikiri ungeandika msg yako hapo juu?
LIBYA REBELS - French mercenary [libyasos] - YouTube
 
Umepata mfuasi mkuu. Lakini mfuasi wako inaonekana hata hizo link zilizowekwa hajazipitia. Kama angebofya asingeandika upupu aliondika.
Kumuita coby mfuasi wangu ni kutokumtendea haki. coby amejieleza kutokana na msimamo wake na sidhani alichoandika ni upupu.

Hii lugha ya "vyombo vya magharibi" kwa sasa imepitwa na wakati. Ilitumika sana zama za vita vya baridi ambapo dunia iligawanyika ki-itikadi kati ya magharibi (mabeberu, USA and western Europe) na mashariki (wanaharakati, Russia, China etc). Kwa sasa unaposema "magharibi" nashindwa kukuelewa una maana gani.

Kwa kumalizia, hizo video zako nyingi unazozitumia unachota kutoka Youtube ambacho nacho ni chombo cha ki-"magharibi". Je kama kuna vyombo vya ki-magharibi ni vyombo vipi ambavyo ni vya ki-kaskazini, ki-kusini au ki-mashariki?

Nakubaliana na coby anaposema:.."they report to the best of them, kinachobakia "changanya na zako"
 
Mkuu Askari Kanzu endelea kumtetea...

Amesema hivi:
Wabongo tunachekesha kweli!nina uhakika hata hiyo speech umeisikiliza BBC au CNN kinachobakia "changanya na zako".
Hata baada ya kuweka link ya Zuma bado unajifanya kipofu?

Kwa hapo palipobakia changanya na zako. Mkuu.

Pia uelewe sasa zinaibuka alternative media hata huko West baada ya wananchi wengi kuona kuwa mainstream media imefanya monopoly, lakini pia wanasema uongo sana au kipindisha story zao sana ili kukidhi dhamira na matakwa ya wanaozimiliki.
 
Mkuu Askari Kanzu endelea kumtetea...

Amesema hivi:

Hata baada ya kuweka link ya Zuma bado unajifanya kipofu?

Kwa hapo palipobakia changanya na zako. Mkuu.

Pia uelewe sasa zinaibuka alternative media hata huko West baada ya wananchi wengi kuona kuwa mainstream media imefanya monopoly, lakini pia wanasema uongo sana au kipindisha story zao sana ili kukidhi dhamira na matakwa ya wanaozimiliki.
Hebu jaribu kusoma na hii linki ujuwe kuna mengi aliyoyasema Zuma zaidi ya hiyo risala aliyoisoma siku hiyo.

Daily Maveric (South Africa, hiki sio chombo cha ki-magharibi)

Paragraph ya saba Zuma alimkandya Gaddafi kama ifuatavyo in short:

Zuma said Gaddafi’s forces had opened fire against unarmed protesters and noted, “Gaffafi’s regime was capable of continuing its atrocities.” Zuma said contrary to some opinion, Libya under Gaddafi was not a democracy. “There were no principles that guided the authority of Libya. Libya was ruled by Gaddafi and Gaddafi alone,” he said.

Kumbuka kuna mengi husemwa baada ya risala (wakati wa maswali na majibu) kwa hiyo wacha waliokuwepo watujuze yaliyojiri na sio sisi kujifanya tunajua yote yaliyosemwa kwenye hiyo lecture kwenye chuo kikuu cha Pretoria.

Na mpaka sasa Zuma bado hajapinga yote yaliyoandikwa kwa sababu aliyasema. Under ordinary circumstances one would expect Zuma to refute such serious allegations against him. The fact that he has not done so should tell you something.

Mkuu Nonda hebu nieleze "huko West" ni wapi haswa?
 
Hebu jaribu kusoma na hii linki ujuwe kuna mengi aliyoyasema Zuma zaidi ya hiyo risala aliyoisoma siku hiyo.

Daily Maveric (South Africa, hiki sio chombo cha ki-magharibi)

Paragraph ya saba Zuma alimkandya Gaddafi kama ifuatavyo in short:

Zuma said Gaddafi's forces had opened fire against unarmed protesters and noted, "Gaffafi's regime was capable of continuing its atrocities." Zuma said contrary to some opinion, Libya under Gaddafi was not a democracy. "There were no principles that guided the authority of Libya. Libya was ruled by Gaddafi and Gaddafi alone," he said.

Kumbuka kuna mengi husemwa baada ya risala (wakati wa maswali na majibu) kwa hiyo wacha waliokuwepo watujuze yaliyojiri na sio sisi kujifanya tunajua yote yaliyosemwa kwenye hiyo lecture kwenye chuo kikuu cha Pretoria.

Mkuu Askari
Kanzu, wewe ndiye mleta mada na uliilta kama hivi
Siasa za kiafrika ni kama mpira wa dana dana!

AU better without 'intimidating' Gaddafi - Zuma

Pretoria - The African Union will work better without Libya's ousted leader Muammar Gaddafi, who repeatedly tried to convince members to form a pan-African government, President Jacob Zuma said on Thursday.

"The African Union will have more time to implement its programmes now, because Colonel Gaddafi spent a lot of time discussing a unity government for Africa that was impossible to implement now," Zuma said in a foreign policy speech.

- AFP

Hiyo ya buluu. Zuma aliyasema hayo alipokuwa akichangia hoja au alipokuwa akijibu masuali ya washiriki au waandishi wa habari.

Changanya na zako.

Mkuu wacha utani wako. Leo hii hukujui West? au huzijui Western mainstream media?
Google au pata hii PressTV - Who is running the Western media?
 
Mkuu Askari
Kanzu, wewe ndiye mleta mada na uliilta kama hivi

Hiyo ya buluu. Zuma aliyasema hayo alipokuwa akichangia hoja au alipokuwa akijibu masuali ya washiriki au waandishi wa habari.

Changanya na zako.

Mkuu wacha utani wako. Leo hii hukujui West? au huzijui Western mainstream media?
Google au pata hii PressTV - Who is running the Western media?
Nah, usianze kuleta vyanzo vya PressTV. Sitanii, I am serious. Unafahamu hata nchi kama Poland, Hungary na the Czech Republic hivi sasa zinajiita west kwa sababu wameshajiunga na NATO? Nordic countries which are up North also consider themselves as belonging to the "West". What I want to say here is that the term "West" is currently so fluid that it has lost its ideological and even geographical connotation katika siasa za kilimwengu kwenye hii enzi ya utandawazi. Hiyo Press TV is Iranian funded na ni chombo cha propaganda za Iran. Kwa hiyo unataka niiamini wasemavyo PressTV kwa sababu ni chombo cha ki-mashariki, sio?
 
Mkuu
Siwezi kukushauri habari ipi uiamini, iwe imetoka West au East.

Dhana ya changanya na zako ndiyo inayotakiwa uitumie baada ya kupata habari kutoka vyanzo vya habari tofauti.

Ndio maana mimi sijajikita katika kuleta habari kutoka vyombo vya habari vya East tu.
Ni vyema wewe endelea kuleta habari unazopendelea kushare na Jf lakini isiwe nongwa mwengine anapoleta habari kutoka chanzo ambacho wewe usingetumia.
Tuwapatie members wenzetu hapa JF habari kutoka vyanzo tofauti, wajisomee na waamue wenyewe wanachotaka kukiamini.
Sitegemei kuwa watu watakuwa wanameza tu bila kutafuna au/ na kuchekecha habari zenyewe.

Hata hiyo link uliyoweka ya daily moverick (An unashamedly elitist website) haisemi kuwa Zuma alikuwa akijibu masuali..zaidi inaonekana ni uchambuzi tu wa huyo aliyeandika makala. Kwa hiyo inawezekana ameweka, amepenyeza maneno ambayo Zuma hakusema. makala ya AFP iko wazi wakati gani Zuma alisema hayo. lakini hii ya Daily haisemi ama aliposoma hutuba yake, au alipoulizwa masuali na kama aliulizwa , nani aliuliza suali lililopelekea kupata majibu kutoka kwa Zuma.
 
Yaani hata Zuma naye unamtetea?
 
Yaani hata Zuma naye unamtetea?
Wapi nimemtetea?
Nilichosema mimi ni kuwa vyanzo ulivyovileta havishawishi kuamini kuwa Zuma amesema hayo.

Ndio maneno yamewekwa kwenye " ". AFP imesema Zuma amesema hayo alipokuwa anasoma policy speech. Speech rasmi haina maneno hayo
Hakuna sehemu inayosema Zuma aliulizwa masuali na waandishi wa habari au washiriki wa hafla hiyo. Yaani maneno yana-hang tu hewani. hili ndilo ninalolisemea hapa. Sioni kama nimemtetea Zuma hapa. Ninachohoji ni usahihi wa habari yenyewe na jinsi ilivyoripotiwa.

Put another spin, sir!
 
Whether or not Zuma amesema hivyo, whether or not imeripotiwa na vyombo gani vya habari, ukweli utabakiwa kuwa foreign policy ya South Afrika haina tofaiti na zile za nchi nyingine za Kiafrika. Mwezi Machi, Zuma alisema: “WE SAY no to the killing of civilians! No to the foreign occupation of Libya or any other sovereign state!” Mashabiki wa chama chake cha ANC wakamshangilia kwa nguvu. Lakini siku nne kabla South Africa had voted for the UN Security Council resolution calling for “all necessary measures” to be taken to protect Libyan civilians under threat, including the imposition of a no-fly zone. Did Mr Zuma believe this could be done without recourse to force?

These days South Africa’s foreign policy swings back and forth kama za nchi nyingine za Kiafrika. Sio kama zamani. Wakati wa Mbeki ilikuwa the promotion of an “African renaissance”. Lakini siku hizi Zuma anazunguka duniani charming everyone as he always does, it is hard to find a pattern to his policies. None of it makes any real sense. There’s no substance, no coherence. At one moment, Mr Zuma is upholding the principles of national sovereignty and non-interference dear to despots around the world. At the next, he insists that his “primary objective” is to contribute to the ideals of democracy, human rights and justice. The result is a mishmash of unpredictable responses to apparently similar situations in different countries.
 
Hamna spin wala nini. Hizi makala sio mimi ninazoziandika. Kama nilivyosema awali; tusubiri tuone kama Zuma atakanusha aliyoyasema/alivyonukuliwa na vyombo vya kimagharibi.
 
Whether or not Zuma amesema hivyo, whether or not imeripotiwa na vyombo gani vya habari, ukweli utabakiwa kuwa foreign policy ya South Afrika haina tofaiti na zile za nchi nyingine za Kiafrika. Mwezi Machi, Zuma alisema: “WE SAY no to the killing of civilians! No to the foreign occupation of Libya or any other sovereign state!” Mashabiki wa chama chake cha ANC wakamshangilia kwa nguvu. Lakini siku nne kabla South Africa had voted for the UN Security Council resolution calling for “all necessary measures” to be taken to protect Libyan civilians under threat, including the imposition of a no-fly zone. Did Mr Zuma believe this could be done without recourse to force?

These days South Africa’s foreign policy swings back and forth kama za nchi nyingine za Kiafrika. Sio kama zamani. Wakati wa Mbeki ilikuwa the promotion of an “African renaissance”. Lakini siku hizi Zuma anazunguka duniani charming everyone as he always does, it is hard to find a pattern to his policies. None of it makes any real sense. There’s no substance, no coherence. At one moment, Mr Zuma is upholding the principles of national sovereignty and non-interference dear to despots around the world. At the next, he insists that his “primary objective” is to contribute to the ideals of democracy, human rights and justice. The result is a mishmash of unpredictable responses to apparently similar situations in different countries.
And that is Jacob Zuma aka JZ!
 
Back
Top Bottom