Zuma: AU bila Gaddafi ni afadhali! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zuma: AU bila Gaddafi ni afadhali!

Discussion in 'International Forum' started by Askari Kanzu, Oct 14, 2011.

 1. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Siasa za kiafrika ni kama mpira wa dana dana!

  AU better without 'intimidating' Gaddafi - Zuma

  2011-10-13 22:44
  kadafi%20zuma.jpg Gaddafi alipokutana na Zuma Tripoli kwenye harakati za usuluhisho wa mgogoro wa Libya

  Pretoria - The African Union will work better without Libya's ousted leader Muammar Gaddafi, who repeatedly tried to convince members to form a pan-African government, President Jacob Zuma said on Thursday.

  "The African Union will have more time to implement its programmes now, because Colonel Gaddafi spent a lot of time discussing a unity government for Africa that was impossible to implement now," Zuma said in a foreign policy speech.

  "He was in a hurry for this, possibly because he wanted to head it up himself,"
  Zuma added.

  "I had arguments with him about it several times. The African Union will work better now without his delaying it and with some members no longer feeling as intimidated by him as they did."

  The self-styled "king of kings" had campaigned aggressively for the continent's then 53 members to form a United States of Africa, and even built a sprawling complex in his hometown of Sirte where hoped the new government would be based.

  Zuma's government had a complex relationship with Gaddafi and with his ousting. The colonel had been an ally of Zuma's ANC when the party was still a liberation movement.

  But South Africa voted for a UN resolution that imposed a no-fly zone over Libya when Gaddafi started bombing rebels who revolted against his 42-year-rule. Later Zuma accused Nato of over-stepping its mandate with airstrikes aimed at protecting civilians and of blocking AU peace initiatives.

  "As the AU, we felt our work was being undermined, especially in the case of Libya," he said in the speech. "The AU was not given space to implement its roadmap and to ensure an African solution to the Libyan question."

  "The people of Libya must determine their own future, in a Libyan-led political solution, supported by the African Union and the United Nations."

  On September 20, South Africa finally recognised the National Transitional Council (NTC) as Libya's legitimate representative and is urging it to form an all-inclusive government.

  - AFP
   
 2. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  "The people of Libya must determine their own future, in a Libyan-led political solution, supported by the African Union and the United Nations."
  c mpaka USA iwaache sasa wa determine iyo future yao
   
 3. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Africa uwanja wa fujo!
   
 4. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,819
  Trophy Points: 280
  kigeugeu......................................
   
 5. N

  Nonda JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,960
  Trophy Points: 280
  Mpaka pale itakapopatikana voice ya Zuma ikisema hiki kilichoandikwa na AFP au video basi naichukulia habari hii kwa tahadhari kubwa...au Zuma ana uwezo mdogo wa ufahamu?

  Napenda niamini kuwa Zuma amesema haya lakini vyombo vya Magharibi vimezidi katika kupika fitina na kugombanisha waafrika ili yao yawaendee.
   
 6. N

  Nonda JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,960
  Trophy Points: 280
 7. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #7
  Oct 14, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Hao NATO wakisema waondoke leo nasi Jumapili Gaddafi atakuwa Tripoli huku akiagiza JKT la huko waweze kutengeneza miundo mbinu ya dharula.

  Waasi bila nato yaani watatolewa baruti hata na Hamisi Gadaffi mtoto wa komredi.

  Waasi ni Mbwa koko tu
   
 8. N

  Nonda JF-Expert Member

  #8
  Oct 14, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,960
  Trophy Points: 280
  Mkuu

  Kati ya ripoti ya AFP na hii The Presidency | Address by His Excellency, President of the Republic of South Africa, Dr. Jacob Zuma on Aspects of South African Foreign Policy at the University of Pretoria nani yuko sahihi?

  Tujifunze kama unavyosema...vyombo hivi vya mapepari na mabeberu vinatutakia mema?

  Kwa nini tunakuwa"mouth piece" wa kueneza uongo na propaganda zao?

  Naelewa, mjumbe hauawi! though. Tujaribu ku.cross check habari. Tusishabikie habari za "udaku".
   
 9. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #9
  Oct 14, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,828
  Likes Received: 930
  Trophy Points: 280
  Mimi nimeiangalia hiyo habari yote kuna maneno mengi ya kuongeza humo kwa hiyo ya AFP yaani wanatia aibu kila mara wanajaribu kuzusha na kuandika vitu visivyokuepo ni watu wa ajabu sana hawa mashetani wa Ulaya wanaojiita EU...wameweka vikaragosi vyao kule wanaviita NTC havina uwezo wowote...

  Jana wamepokea kichapo cha mbwa mwitu na kukimbia kutoka SIRTE bila ile midege ya hawa Mashetani, Ghadaff anarudi kwa siku 2 tu ..ni aibu sana kwamba wanapika habari mara ohh tumeua Hamis , mara Ghadaff tunajua aliko,ohh Mutassim katekwa ni ujinga tu unawasumbua hawana uwezo wowote...
   
 10. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #10
  Oct 14, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Vyombo vya kimagharibi? Iyo kompyuta yako unayotumia kuendeleza propaganda za Gaddafi pia ni chombo cha mabepari na mabeberu/magharibi (hakikugunduliwa na "wanamapinduzi" wa kiafrica). Wakati Zuma anaongea alitumia maikrofoni (kipaaza sauti) na alikuwa amevaa suti akizungumza lugha ya kizungu (vyombo vingine vya kimagharibi). Just for your information.

  Tukubali au tukatae, Zuma ni kigeugeu. Subiri uone kama Zuma ataipinga hii habari!
   
 11. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #11
  Oct 14, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,105
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  huyu jamaa hana tofauti na jk,ni kigeugeu,ahadi zake hewa, lif style yao,makundi ndani ya vyama vyao. Yaani cmpendi kama mkuu wa kaya !..
   
 12. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #12
  Oct 14, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Gang Chomba, Yanga inacheza leo !
   
 13. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #13
  Oct 14, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Na kama Yanga wakitandikwa hasira za GC zitakuwa ni moto wa kuotea mbali!
   
 14. F

  Fahari MJ JF-Expert Member

  #14
  Oct 14, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 425
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwenye cable za ubalozi wa US kuna moja JK anamchambua Gaddafi kama karanga.
   
 15. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #15
  Oct 14, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 10,787
  Likes Received: 2,684
  Trophy Points: 280
  Muunganiko wa maneno ,Askari Kanzu, kwa tafsiri yangu duni kwenye duru za kiusalama inasemekana ni mtu muhimu sana ambaye inatarajiwa awe na taarifa zilizoainishwa vizuri na zisizo za kutunga(fake info) maana anazifanyia kazi kuona kama ni za kweli kabla ya kuziita info. Ukigungua Askari huyo analeta/anapatikana na fake info, ujue kuna tatizo tena kubwa. Pia ukijaribu kuchunguza jinsi anavyotetea hizo fake info alizozileta au kukutwa nazo kuwa ni halali, utagundua kitu kingine chakushangaza. Wakati mwingine unaweza kujiuliza huyu askari kanzu ndio wale askari waliofanyiwa " Human cloning" ktk "department of Defence" katika Lab za Pentagoni n.k iliwakafanye kazi ktk nchi zinazoonyesha kupinga ustawi wa kibeberu usiojali haki/uhai za/wa walimwengu?

  Tukirudi kwa ASKARI KANZU wa JF(Jamii forums )tafsiri yake hasa sijaipata. Maana mwenendo wake wa msimamo juu ya uhuru wa waafrika na ustawi wa maisha yao katika maendeleo yenye tija kwao bila kushabikia maneno yanayokuza mgawanyiko ndani ya waafrika wenyewe bado unanichanganya kama "avatar" yake.
   
 16. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #16
  Oct 14, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Wewe kwa madongo sintokuweza!
   
 17. N

  Nonda JF-Expert Member

  #17
  Oct 14, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,960
  Trophy Points: 280
  Mkuu Askari Kanzu

  Umeleta habari kutoka AFP, pia huwa unaleta kutoka BBC, Reuters, CNN nk. kwa hiyo hapo vyombo vya magharibi imekusudiwa Vyombo vya habari (Western mainstream media). Hili nina uhakika ulilijua lakini umependelea kufanya spin.
  Hapa ulikuwa unajizingua tu baada ya kuipitia link ya Zuma na kugundua kuwa Zuma hakutamka maneno yaliyoandikwa na mwandishi wa AFP.
  Mkuu wapi mimi nimeendeleza propaganda za Gaddafi?
  Je ni sahihi pia ikisemwa kuwa wewe unatumia komputa yako kuendeleza propaganda za US-NATO na NTC?

  Mkuu katika mada ya thread hii uliyoianzisha, nilichofanya mimi ni kutafuta speech ya Zuma na kuilinganisha na habari ya AFP na kujionea mwenyewe kuwa mwandishi wa AFP amebuni habari kinyume na aliyosema Zuma.

  Sasa propaganda za Gaddafi zimeingiaje hapa?
  Inapotokea hakuna kitu cha ku-comment mkuu si lazima uandike au ufanye spin. Isiwe mechi ya simba na yanga!

  Hata hivyo, reply yako ilinichekesha! Ilinifurahisha.
   
 18. coby

  coby JF-Expert Member

  #18
  Oct 14, 2011
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 342
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wabongo tunachekesha kweli!nina uhakika hata hiyo speech umeisikiliza BBC au CNN au etc na hatuchelewi kusema imepandikizwa! Kwa tukio baya hatuna source ingine ya habari zaidi ya CNN, BBC, Aljazeera,AFP, etc, the so called vya kimagharibi na kamwe haiwezekani kila mtu aende physically akajitafutie ukweli wake mwenyewe. Inteligensia yetu iko bize na CHADEMA.Sasa masikini sie kila kitu tunasema wanatudanganya lakini hatuachi kuendelea kuwasikiliza kila kukicha.
  The truth remains wao ni reporters, they report to the best of them, kinachobakia "changanya na zako".
   
 19. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #19
  Oct 14, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Ao jamaa wanaopinga kila kitu cha kimagharibi ni afadhali waende wakajiunge na Boko Haram (western education is sacrilege) au Al-Shabaab manaake hayo makundi ndio yako mstari wa mbele kwa kupinga u-magharibi kwa vitendo!
   
 20. N

  Nonda JF-Expert Member

  #20
  Oct 14, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,960
  Trophy Points: 280
  Umepata mfuasi mkuu. Lakini mfuasi wako inaonekana hata hizo link zilizowekwa hajazipitia. Kama angebofya asingeandika upupu aliondika.
   
Loading...