Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,631
- 4,225
Nothing new...absolutely nothing!...anachekesha na kuuza sura tu!
Are we really supposed to believe this....? What if the report is fake?
Isnt believing in fake thing part of our culture?
achane maisha ya watu jamani, hiyo kupima ni personal ishu, mbona nyie hamjatangaza maresults yenu? na nyie tangazeni ya kwenu kama ni kazi nyepesi, kup;ima kwenyewe ishu, itakuwa matokeo?
Isnt believing in fake thing part of our culture?
Afadhali asingetanganza. Kwa sasa inaonekana kuwa mtu unaweza kuwa fuska kama Zuma na bado usipate ukimwi; hii ni hatari sana. Watu wanaweza kushawishika kumuiga!Hana jipya...!
Juzi amezaa na mwanamke wa nje wakati ana wake 3 wa ndoa!...huh!
Lakini alikuwa na kesi ya kumbaka mwanamke mwenye ukimwi!
Pia ana maskendo kadha yanayohusu ngono bila kujali position yake ya kitaifa, i hate this man!
Kupima kwake na kujitangaza hakuna maana yoyote, amelazimika kutokana na tabia chafu mno aliyo nayo.
Nothing new...absolutely nothing!...anachekesha na kuuza sura tu!