ZUKU yaongeza 6000 ya VAT

ZUKU yaongeza 6000 ya VAT

meningitis

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
8,464
Reaction score
4,828
Wamenitumia sms mda si mrefu kuwa basala ya kulipia 32000 sasa nitatakiwa kulipia sh 38000 kwa mwezi.wakasisitiza kuwa ongezeko hili ni la VAT.
 
Tutazoea tu hizi gharama mpya baada ya miezi miwili tu.
 
yaani mwanzoni hawakuwalipisha VAT? basi wameingia loss kweli kwa kipindi hicho, pole zao
 
Hivi kifurushi cha gharama ndogo kabisa kwa zuku ni kiasi gani?
 
Sijawahi kuona kampuni yenye kastoma savis mbovu kama zuku. Kama wameongeza bei ndio watajiangalia wenyewe.
Nawashukuru waliniboa siku ya kwanza nikaboreka nikaenda DStv. DStv wana bei mbaya lakini unapata kitu unachotaka isitoshe wana the BEST CUSTOMER SERVICE in town.
Sioni torfauth ya Tshs 21500 za zuku kima cha chini na huduma mbovuest na 22000 za DStv na best huduma.
 
Cc Adrian Hillary Stepp
Waambie Azam Tv kwamba Website yao bado inabei za Zamani.Wata wapoteza watu kwa bei zilizopita muda wake.
 
naomba kuuliza zuku na NTV ya kenya..inaonekana bongo!?
 
Back
Top Bottom