Sikushauri kutumia Zuku,mimi ni mtumiaji wa Zuku lakini ninajutia maamuzi yangu kuwa mteja wao,vipindi hasa movies zinarudiwa rudiwa,yaani hamna kipindi kinachorushwa na katika chanel za Zuku ambacho sijawahi kukiona,haina tofauti na mtu anayeangalia dvd.zuku action,zuku max,zuku family ndo shida kabisaaWatumiaji wa Zuku... tupeni uzoefu wenu.
-Kaveli-
Sikushauri kutumia Zuku,mimi ni mtumiaji wa Zuku lakini ninajutia maamuzi yangu kuwa mteja wao,vipindi hasa movies zinarudiwa rudiwa,yaani hamna kipindi kinachorushwa na katika chanel za Zuku ambacho sijawahi kukiona,haina tofauti na mtu anayeangalia dvd.zuku action,zuku max,zuku family ndo shida kabisaa

Pamoja sana mkuuShukrani sana mkuu. cheers...
-Kaveli-
89,000.labda ipande hivi karibuni.Iv kisimbuz cha startimes n bei ganii
Iv kisimbuz cha startimes n bei ganii
Channel namba 100.star movieNi kweli mkuu. Mie nimechukua jana startimes ya Dish... kwakweli ni HD kabisa, picture quality imeniridhisha kabisa.
Ila kwa action movies... hawana movies za kiamerika/kizungu. Movies za kungfu (chinese) ndiyo kwa wingi.
-Kaveli-