Wadau,
Naomba kwa ambaye ana uzoefu na hawa ZUKU Satelite TV, je wana ubora kiasi gani?
Je huduma zao zinafaa? Je kwa TZ mikoani wanapatikana? Kwa mfano mkoa wa Mbeya.
Kama umejiunga nao tafadhali tunaomba tusaidia experience yako na hawa jamaa ukilinganisha na kampuni kama DSTV.
Kama ni mfanyakazi wao pia tusaidie kujua mnategemea hasa customers wa aina gani?
Mimi nataka kuwatumia kwa ajili ya TV kwenye vyumba vya hoteli.
Mtanzania