ZUKU kwakweli ni majanga

ZUKU kwakweli ni majanga

hapo ulipo unanuka dhiki utaweza kuninunulia mimi wewe, baraka ya kusumbua watu PM mbwa wewe, nakustahi tu Kwa leo
bila kuweka screen short za usumbufu hapa! hatutakuelewa vinginevyo tunajua unajipigia pande tuu! ili na wewe uonekane unatafutwa!!! karne ya 21 unatongozwa halafu unashangaa?? shwineee
 
Badili mamii...

Shida yao kubwa ni kufyeka channel zote..pindi kifurushi kinapoisha.
 
Mkuu Kila mtu anapenda kitu kizuri Ila mfuko hauruhusu
Boss wangu usemayo ni kweli. Ila nadhani initial cost ya ku install DStv iko chini ya ile ya startimes na Zuku. Hata running cost kama unanunua kile kifurushi cha chini
 
Kwa tatizo ilo Kwa zuku nitawasingizia Hakuna, ila tu wapo ovyo, yaan ukilipia efu kumi ikiisha kifurushi chako uhoni channel yoyte ya free ,kibaya zaidi channels za ni TBC na WASAFI TV tu, mavipindi yao kwenye machannel mengine yanajirudia rudia, kama ile channel ya NATIONAL GEOGRAPHYIC ya wanyama na zinginezo, kiufupi ni ovyo, taarifa ya habari sasaivi ndo uwezi sikia, maana ITV haipo, TBC ni habari za kumuhusu mwenyekiti wa ccm mwanzo mwisho
"Uhoni" ndio nini?
NAHONA" ndo nini
Akikujibu na wewe uniambie "UHONI" ndio nini??
 
Unavyonunua kisimbuzi kua makini unataka nini? Kama michezo ni azam,dstv, local kupata Chanel za bongo ni ting,continental, digitek na startimes zingatia haya
 
morning,

Mwenzenu nina king'amuzi cha ZUKU basi ni kero had najuta kwann nilikinunuaga , kwanza local channel ni TBC na WASAFI TV tu,
kibaya zaidi kifurushi kikiisha uhoni channel yoyote, ila watakutumia Meseji kuwa ulipie sijui kuna igizo gani, mwisho watakupigia na simu hadi kero ,

nafikiria kukiuza ninunue startimes tu kwakweli, kwanza hamna cha zaidi ni kama efu kumi yangu naitupa kila mwezi
Karibu star times ule maisha mchina oyeeeee
 
Back
Top Bottom