ZUKU kwakweli ni majanga

ZUKU kwakweli ni majanga

Nuraty J

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2018
Posts
1,724
Reaction score
3,834
morning,

Mwenzenu nina king'amuzi cha ZUKU basi ni kero had najuta kwann nilikinunuaga , kwanza local channel ni TBC na WASAFI TV tu,
kibaya zaidi kifurushi kikiisha uhoni channel yoyote, ila watakutumia Meseji kuwa ulipie sijui kuna igizo gani, mwisho watakupigia na simu hadi kero ,

nafikiria kukiuza ninunue startimes tu kwakweli, kwanza hamna cha zaidi ni kama efu kumi yangu naitupa kila mwezi
 
pole sana mkuu. Ving'amuzi vyenye stress tanzania ni Zuku, continental na Ting, ukishanunua kimojawapo kati ya hivyo basi hakikisha kichwa chako kina uwezo wa kuhimili stress zao
 
kwakweli, Yaani najijutia kwann nilinunua hii karaa
 
morning,

Mwenzenu nina king'amuzi cha ZUKU basi ni kero had najuta kwann nilikinunuaga , kwanza local channel ni TBC na WASAFI TV tu,
kibaya zaidi kifurushi kikiisha uhoni channel yoyote, ila watakutumia Meseji kuwa ulipie sijui kuna igizo gani, mwisho watakupigia na simu hadi kero ,

nafikiria kukiuza ninunue startimes tu kwakweli, kwanza hamna cha zaidi ni kama efu kumi yangu naitupa kila mwezi
DSTV ndio baba yao.
 
Yaani zuku ni sheeedaaa! Wingo kidogo tu inastaki,
Kwa tatizo ilo Kwa zuku nitawasingizia Hakuna, ila tu wapo ovyo, yaan ukilipia efu kumi ikiisha kifurushi chako uhoni channel yoyte ya free ,kibaya zaidi channels za ni TBC na WASAFI TV tu, mavipindi yao kwenye machannel mengine yanajirudia rudia, kama ile channel ya NATIONAL GEOGRAPHYIC ya wanyama na zinginezo, kiufupi ni ovyo, taarifa ya habari sasaivi ndo uwezi sikia, maana ITV haipo, TBC ni habari za kumuhusu mwenyekiti wa ccm mwanzo mwisho
 
morning,

Mwenzenu nina king'amuzi cha ZUKU basi ni kero had najuta kwann nilikinunuaga , kwanza local channel ni TBC na WASAFI TV tu,
kibaya zaidi kifurushi kikiisha uhoni channel yoyote, ila watakutumia Meseji kuwa ulipie sijui kuna igizo gani, mwisho watakupigia na simu hadi kero ,

nafikiria kukiuza ninunue startimes tu kwakweli, kwanza hamna cha zaidi ni kama efu kumi yangu naitupa kila mwezi
Utamuuzia nani hakiuziki. Zuku ni majanga nafikiria kukigawa bure niondoe kero
 
Back
Top Bottom