nunua kitu kinaitwa TV TUNER ya USB.Msaada jamani wandugu. Tv imezngua naombeni msaada jinsi ya kuunga zuku kwenye laptop. Najua umu kitu kushindikana ni nadra sana
Sh ngapi inauzwa kakanunua kitu kinaitwa TV TUNER ya USB. View attachment 359476
haitazidi 60000/- pia inategemea na duka unaweza kuipata kuanzia 35000/- . Nunua ya litewave au mecury au phillips eproSh ngapi inauzwa kaka
Habari zenu wadau naomba maelekezo jinsi ya kupata africa tv swahili kwenye zuku naomba mwenye kujua anipe maelekezo pleaceMsaada jamani wandugu. Tv imezngua naombeni msaada jinsi ya kuunga zuku kwenye laptop. Najua umu kitu kushindikana ni nadra sana