Zuio la VISA USA kwa watanzania

Zuio la VISA USA kwa watanzania

joskill

Member
Joined
Apr 7, 2011
Posts
52
Reaction score
10
Hivi hili zuio la Visa kwa watanzania huko nchini marekani ni kwa maombi mapya au litahusisha na wengine ambao tayari walishapata VISA huko nyuma mana nna braza wangu na yeye alipataga green card miaka mi nane iliopita
 
Back
Top Bottom