emmadeclassic
JF-Expert Member
- Sep 28, 2015
- 304
- 133
Tuambie kwanza EP ni nini ?Wadau kama tunavojua Zuchu ni msanii mpya alietambulishwa na Record label ya WCB iliyopo chini ya Diamond platnumz hapo juzi na kutambulisha EP yake hapo jana usiku kupitia wasafi TV na channel zao za online ,na leo ameiachia rasmi huko boom play ikiwa na ngoma saba ambazo ni
1.Wana
2.Raha
3.Nisamehe
4.Kwaru
5.Ashua ft Mbosso
6.Mauzauza ft Khadija kopa
7.Hakuna kulala.
Mi kwangu Ashua ndo bonge moja la Song (jeshini Chenja) je we Mdau unaionaje EP hii na je dogo Zuchu atafika mbali au kazingua ,kama umeipenda taja na favourite song unayoikubali .
Wenu..MD EJM
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuambie kwanza EP ni nini ?
Hadija kopa ana undugu na Diamond ?Mtoto wa Hadija Kopa huyo kaingizwa ki-undugu. HAKUNA KITU KABISA HAPO.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naupenda NisameheWadau kama tunavojua Zuchu ni msanii mpya alietambulishwa na Record label ya WCB iliyopo chini ya Diamond platnumz hapo juzi na kutambulisha EP yake hapo jana usiku kupitia wasafi TV na channel zao za online ,na leo ameiachia rasmi huko boom play ikiwa na ngoma saba ambazo ni
1.Wana
2.Raha
3.Nisamehe
4.Kwaru
5.Ashua ft Mbosso
6.Mauzauza ft Khadija kopa
7.Hakuna kulala.
Mi kwangu Ashua ndo bonge moja la Song (jeshini Chenja) je we Mdau unaionaje EP hii na je dogo Zuchu atafika mbali au kazingua ,kama umeipenda taja na favourite song unayoikubali .
Wenu..MD EJM
Sent using Jamii Forums mobile app
Najua
Umesikiliza lakini hizo ngoma? Mtoto anasauti sana the future is bright for herHakuna kitu humo Promo kubwa msanii wa Kawaida nyimbo za kawaida sana Zimebebwa na Promo
Ni Dayna nyange aliyechangamka tu huyuUmesikiliza lakini hizo ngoma? Mtoto anasauti sana the future is bright for her
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha umetumia criteria gani kuconclude ivo?Ni Dayna nyange aliyechangamka tu huyu
Sent using OnePlus 6T Maclaren Edition