Zuanga photo, ekotitee!

hahhaahahaha selfie, muacheni jamani yan alikuwa raisi wa aina yake...

mwanga photo selfie. myiaaa ekotiteee ekotiteee.

jamani tukutane pale kwenye upepo mwanana tutakuwa tunafanya ekotiteee
 
Yaani lile tangazo la nyama choma limenihamasisha kwakweli, ekotite ni Hatari
 
Kikwete noma sana. Sidhan kama kuna rais atakuja kutokea hapa Tz kama kikwete..

Tutamkumbuka sana kupenda sketi huyu jamaa.
 
kikwete kaTIKA UBORA WAKE..........
 
Kukumbukwa ni jambo LA kawaida sn ila unakumbukwa kwa lipi kwa ujinga ama !!? Baba Riz kwa ujinga
 
Kikwete noma sana. Sidhan kama kuna rais atakuja kutokea hapa Tz kama kikwete..

Tutamkumbuka sana kupenda sketi huyu jamaa.

itatuchukua miaka 50 tena kupata sampuli ya Kikwete
 
Kikwete noma sana. Sidhan kama kuna rais atakuja kutokea hapa Tz kama kikwete..

Tutamkumbuka sana kupenda sketi huyu jamaa.

Hata wewe! Hii ndiyo ina itwa about turn 360 degrees.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ