Kujiridhisha kuwa pesa hiyo ilifika Ujerumani, kunabainishwa na mawasiliano ya barua pepe kati ya Zitto Kabwe na yule mwanamke wa kijerumani aliyemtumia akaunti ya benki, anafahamika kwa jina la Andrea Cordes, mawasiliano yaliyofanywa tarehe 17 alhamisi saa 20:34 usiku ambapo Andrea kupitia barua pepe yake aco.. gmail.com anamwandikia Zitto kupitia barua pepe ya Zitto iitwayozitto.. gmail.com , Andea anasema "Hey sweet, mzigo yako imefika, can we talk?" Ujumbe huu unajibiwa na Zitto saa 21:03 usiku huo kwakusema, "I'm so sorry my darling, nimechelewa kukujibu, I will call you soon"
Saa 23:23 Zitto Kabwe kupitia simu yake ya kiganjani namba
+255754787550, alimpiga Andrea Codes kupitia namba +4915739444853,
akimweleza kuwa anashukuru kwa mzigo kumfikia, lakini anataka kumpa utaratibu wa kuichukua hiyo pesa, ambapo alimweleza kuwa atakuwa anaichukua kidogo kidogo kila mwezi kwa njia ya Western Union kuanzia dola 20,000 hadi dola 50,000, wakati huo Andea Codes atakula kamisheni ya dola 25,000.