Weka kwanza uwazi kwamba Tangazo lako limechukua muda gani kabla ya kuwa approved?
Maana ukipost tangazo bila kuwa na maelezo ya kuelewa,lazima wakugandishe.
Hembu sema muda gani tangazo limechukua
Mie mwenye nina post huwa natuma na ikichelewa basi wananiambia kwamba kuna vitu nimekosea nirekebishe,na sometimes wanakusaidia kubadilisha ili lieleweke na lisikae kitapeli au kisanii.
Customer care yake ipo vizuri sana tu,bidhaa zangi zote ninauza kupitia zoom bila mashaka yoyote,sasa lazima ujipime na umeanza kuitumia Zoom lini