ZoomTanzania badilikeni na mjifunze kutoka kwa mitandao mengine. Sijawahi kuona Mtu anabandika tangazo lake linachukua siku kibao ndiyo linakuwa aproved kuwa hewani, Badilikeni na huyo mtu wenu wa huduma kwa wateja mtimuweni maana hafai kabisa hayupo committed na kazi yake.