NAMBA YAKE ALIYOTUMIA NI HII HAPA 0677889778 JIZI ILI LIEPUKENI.JAMANI wanajamvi nisaidie kumkamata mwizi mwizi mwizi mwizi mwizi mwizi,
ilikuwa Juzi mzee nimekaa Nyumbani kwangu ,ikaona ngoja niingie ZOOMTANZANIA, NIKAKUTA post za PROJECT OFFICERS 5 POST KATIKA NGO INAYOITWA CLIMATE VISSION, ipo jijini dar nikaomba eti leo hasubuhi ata kuamka sijamkaa ikaingia text inasema hivi,
''Hello,am Mr KAUGA from climate vission NGO IN DAR tunaingia kwenye vikao kupitia cv kwa ajir ya kushortlist majina ya interview, nataka nikusaidie upate kwa mashariti haya, leo kabra ya saa nane utume elfu 50,000. na baada ya kupata kazi utanipa laki 5, nitakutumia maswali ya interview leo na ntakupigia simu nikitoka kwenye kikao.'' Mwisho wa kumnukuu MWIZI MR KAUGA JAMANI MSAADA TUMKIMBIZE MWIZI, MWIZI MWIZI, MWIZI MWIZI. TYPE KIMBIZA MWIZI ILI KUKOMESHA TABIA ZA KISHEZNI HZI. ndio maana juzi niliandika hapa jf kuwa zoomtanzania ifutwe, na mitandao yote ya kitapeli ikomeshwe TAESA WAWE WAKALA KWELI WA AJIRA ZA PRIVATE. najua kuna wtu mliomba hizo [post kuweni makini ni wezi hawa. zooomtanzania ndo chanzo.

Cha ajabu hata ukiwashtaki hawa watu TCRA hawachukui hatua yoyote, ni mambo ya ajabu sana aiseeeeNAMBA YAKE ALIYOTUMIA NI HII HAPA 0677889778 JIZI ILI LIEPUKENI.
***Cha ajabu hata ukiwashtaki hawa watu TCRA hawachukui hatua yoyote, ni mambo ya ajabu sana aiseeee
Upo wapi huo uzi?Kuna uzi humu mdau mmoja kapost leo kamtia mkononi huyo tapeli.
Shirikisha kampuni ya simu yenye mtandao huo wao wananamna ya kumtafuta na kumpata kwa njia ya teknojia ya mtandao ya simu. Lakini acha kutoa hela kwa MTU usiyemfahamu wala kujua ofisi yake ilipo.Inaonekana hawa ZoomTanzania sio wafautiliaji wa wale wanaoleta matangazo yao ya kazi, kwan kuna wakati hufanya vizuri kwa kupost nafasi za kazi kutoka kwa makampuni sahihi na kuna wakati hupost nafasi za kazi kutoka kwa matapeli. Mimi binafsi nimeshakutana na utapeli huo mara mbili ijapokuwa hawakufanikiwa kunichomoa pesa, kwasababu isingewezekana nikutumie pesa bila kukutana na ndo kitu alikuwa hataki