muuza ubuyu
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 3,543
- 3,604
Haombi mzigo, yeye tu anasema "I love u" au "Niruhusu nikufanye mama wa watoto wangu"
Afu asubuhi, mchana na jioni, afu kwa muda mreefu sasa
Hata nimtume usiku wapi kama ana nafasi atafanya tu, tena free of charge
Kumbe anataka kikubwa kuliko hela?? Ngastuka
kuna Zombie mmoja wa siku nyingi sana
tunawasiliana mara kwa mara
ila siku za hivi karibuni, 'I love U' haziishi na kuapa anavyotamani niwe kwenye himaya yake.
Katangaza ndoa hata kabla sijakubali, naona sasa anaanza kunilegeza magoti, nisipokuwa makini itakula kwangu.
Tatizo huwa sitaki kula nilichosusa, nimesema tu ili mnisaidie kumkemea sheitwani anayetaka kunipitia.
Huyu zombie anataka kujifufua kwa kasi au?
Haombi mzigo, yeye tu anasema "I love u" au "Niruhusu nikufanye mama wa watoto wangu"
Afu asubuhi, mchana na jioni, afu kwa muda mreefu sasa
Hata nimtume usiku wapi kama ana nafasi atafanya tu, tena free of charge
Kumbe anataka kikubwa kuliko hela?? Ngastuka
Kwani shosti, huyo Zombie umeshindwa kabisa kumpa za uso?...mueleze ukweli bhana kuwa haupo tayari kuwa naye, ikiwezekana uwe unamuita majina kama kaka, mjomba au ba'mdogo ili kumuua stimu kabisa...najua Konnie can do that...
nakumbuka kuna siku nimebishana sana na Konnie hapa jamvini,akaniambia yeye hapendi kabisa zombie type...aanapenda wanaume walio na drama kibao, sasa naona imekua vaisi vesa, ila namuaminia mtu wangu Kongosho....hii ishu ataisolve kirahisi tu
mtani tupinge! Kongosho kategeka tayari asingesema humu!au hata kama angesema isingekuwa kwa lugha aliyotumia!m\
mi mtoto wa kike bana najua ni maneno gani tunasema wen we r in love!especially wen tukiwa tunabishana na tunachofeel kiukweli!
Haya tupinge mtani!
Kongosho, watu8 is on your side...jamani mtani kweli mmemuamulia shosti yangu loh
unajua nini kongosho, na mimi niliamua kuwa na zombie mmoja kwa kuamini ana upendo wa kweli na heshima,
guess wat baada ya kunimega mambo yakawa tofauti tena sana, bahati nzuri nilimgea kwenye nailon watoto wake akatupa mwenyewe kwenye bin, tena na yeye alikuwa anasisitiza kila siku tuzae sijui nini nini vile, nafaa kuwa mama wa watoto aaaaaaah usirudi nyuma shosti hukumpenda tangu dei wani hana jipya dia , songa mbele tu
Mwanaume zombie du, kweli yawezekana tunaitwa mazombie bila kujifahamu, ebu elaborate more zombie ni mwanaume wa namna gani, maana hata atakayekuja kukuoa yawezekana akawa zombie x2
Ujue hadi ananifanya eti naona aibu kumtizama usoni? Me? At this age? Feeling shy? For a zombie?
God forbid!
Au kaniendea kwa mganga? Kuna saa natamani apige simu ujue?