U urasa JF-Expert Member Joined Aug 12, 2010 Posts 434 Reaction score 2 Jun 19, 2011 #1 Hivi zombe ni bado mfanyakazi wa serikali?leo front page ya mwananchi ameonekana akimtoa kwenye nyumba inayogombewa ya familia ya kawawa mama anayesemekana ni mke mdogo wa mzee kawawa,huyu jamaa bado yupo kazini?
Hivi zombe ni bado mfanyakazi wa serikali?leo front page ya mwananchi ameonekana akimtoa kwenye nyumba inayogombewa ya familia ya kawawa mama anayesemekana ni mke mdogo wa mzee kawawa,huyu jamaa bado yupo kazini?