Zombe kulikoni?

Zombe kulikoni?

urasa

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2010
Posts
434
Reaction score
2
Hivi zombe ni bado mfanyakazi wa serikali?leo front page ya mwananchi ameonekana akimtoa kwenye nyumba inayogombewa ya familia ya kawawa mama anayesemekana ni mke mdogo wa mzee kawawa,huyu jamaa bado yupo kazini?
 
Back
Top Bottom