hio barabara na hizo dauni na mwendo basi tairi kutoa moshi ni jambo lisilo epukika nduguHabari za jioni wakuu
Nipo Safarini kwenda Songea nimepanda kampuni ya Newforce,,tumekwama hapa Madaba ni umbali wa saa 2 kufika Songea tairi zinataka kuwaka hii ni mara ya pili sasa na kumekuwa na kesi nyingi kama hizi mwishowe gari huwaka je,hizi gari zina shida gani wakuu?
Kweli hii njia ni mbaya na busta zimepasuka
Gari kutaka kuwaka ni uzembe wa wamiliki, hata Polo huwa zinaungua vema tu.Habari za jioni wakuu
Nipo Safarini kwenda Songea nimepanda kampuni ya Newforce,,tumekwama hapa Madaba ni umbali wa saa 2 kufika Songea tairi zinataka kuwaka hii ni mara ya pili sasa na kumekuwa na kesi nyingi kama hizi mwishowe gari huwaka je,hizi gari zina shida gani wakuu?
Mzee tupo kwenye ndinga moja nipo kulia kwako hapa na Uzi wa ManchesterHapana sio kweli napingana na wengi kwamba shida ni barabara..kiuhalisia na kibongo bongo asilimia kubwa shida huwa kwetu ss wabongo na modification zetu za kidumu au kukaa mda mrefu bila kujali madhara yoyote yale..hapo lazima utakuta washafunga brake line za kugongea ngumu kama jiwe ili gari iende songea na kurudi kinachotokea material yake hayaendani au nimagum sana mwishowe kwa safari ndefu hiyo lazima drum zipate moto sana.. au kingine ukigongea liner brake za kugongea basi huwa nene zaidi ya zile original hivyo lazima zitazingua sana.mpaka zitembelewe zipungue ndio itakaa sawa sasa wakati huo lazima drum zipate sana moto ndio shida hiyo ya kuungua hutokea..
Hapana sio kweli napingana na wengi kwamba shida ni barabara..kiuhalisia na kibongo bongo asilimia kubwa shida huwa kwetu ss wabongo na modification zetu za kidumu au kukaa mda mrefu bila kujali madhara yoyote yale..hapo lazima utakuta washafunga brake line za kugongea ngumu kama jiwe ili gari iende songea na kurudi kinachotokea material yake hayaendani au nimagum sana mwishowe kwa safari ndefu hiyo lazima drum zipate moto sana.. au kingine ukigongea liner brake za kugongea basi huwa nene zaidi ya zile original hivyo lazima zitazingua sana.mpaka zitembelewe zipungue ndio itakaa sawa sasa wakati huo lazima drum zipate sana moto ndio shida hiyo ya kuungua hutokea..
Hahahaha tulipanda wote ndinga ya kwenda wapi mkuu coz leo nimepanda ndinga mbili tuu..mwenge segerea then segerea kinyereziMzee tupo kwenye ndinga moja nipo kulia kwako hapa na Uzi wa Manchester
Ilikua ya makumbusho....kuna mda ilizingua ikasimama ukadrop sjui sikukuona tenaHahahaha tulipanda wote ndinga ya kwenda wapi mkuu coz leo nimepanda ndinga mbili tuu..mwenge segerea then segerea kinyerezi
Hahahahaha okey sawa sawa mkuu.mda ule nilikuwa nipo lessi mbaya naharaka kuliko mda nilikuwa nimetoka kinyerezi kuna gari ilikuwa inazingua huko ni TATA XEON ya common rail .nilikwenda kuiwasha ikawa imewaka but inazingua nikawa nimefungua nozzel kwaajili ya kwenda kuzilekebisha na nilikuwa na kwenda kuzitengeneza tabata..Ilikua ya makumbusho....kuna mda ilizingua ikasimama ukadrop sjui sikukuona tena