Zohngtong,Youtong,Higher nk hii michina ina shida gani?

feyzal

feyzal

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2016
Messages
1,076
Points
2,000
feyzal

feyzal

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2016
1,076 2,000
Habari za jioni wakuu

Nipo Safarini kwenda Songea nimepanda kampuni ya Newforce,,tumekwama hapa Madaba ni umbali wa saa 2 kufika Songea tairi zinataka kuwaka hii ni mara ya pili sasa na kumekuwa na kesi nyingi kama hizi mwishowe gari huwaka je,hizi gari zina shida gani wakuu?
 
kiduku mpapaso

kiduku mpapaso

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Messages
439
Points
1,000
kiduku mpapaso

kiduku mpapaso

JF-Expert Member
Joined Oct 30, 2018
439 1,000
Habari za jioni wakuu

Nipo Safarini kwenda Songea nimepanda kampuni ya Newforce,,tumekwama hapa Madaba ni umbali wa saa 2 kufika Songea tairi zinataka kuwaka hii ni mara ya pili sasa na kumekuwa na kesi nyingi kama hizi mwishowe gari huwaka je,hizi gari zina shida gani wakuu?
hio barabara na hizo dauni na mwendo basi tairi kutoa moshi ni jambo lisilo epukika ndugu
 
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Messages
2,230
Points
2,000
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
2,230 2,000
Ungepanda hata super najumnisa ya zamani ukatembea mdogo mdogo kama umepanda toroli
 
Mamaya

Mamaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Messages
3,884
Points
2,000
Mamaya

Mamaya

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2011
3,884 2,000
Tatitizo ni hiyo barabara mkuu, ni lami lakini ina mawimbi kama barabara ya vumbi,tena ambayo haijawekwa changarawe, pia miteremko mikali ni mingi hivyo lazima brake disc zipate moto sana na kuunguza gris hivyo harufu ni lazima uisikie
 
Heron

Heron

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2013
Messages
1,335
Points
2,000
Heron

Heron

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2013
1,335 2,000
Habari za jioni wakuu

Nipo Safarini kwenda Songea nimepanda kampuni ya Newforce,,tumekwama hapa Madaba ni umbali wa saa 2 kufika Songea tairi zinataka kuwaka hii ni mara ya pili sasa na kumekuwa na kesi nyingi kama hizi mwishowe gari huwaka je,hizi gari zina shida gani wakuu?
Gari kutaka kuwaka ni uzembe wa wamiliki, hata Polo huwa zinaungua vema tu.
Higer, Yutong, Zongtong na Kinglong wala hazina shida
 
LEGE

LEGE

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Messages
5,062
Points
2,000
LEGE

LEGE

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2011
5,062 2,000
Hapana sio kweli napingana na wengi kwamba shida ni barabara..kiuhalisia na kibongo bongo asilimia kubwa shida huwa kwetu ss wabongo na modification zetu za kidumu au kukaa mda mrefu bila kujali madhara yoyote yale..hapo lazima utakuta washafunga brake line za kugongea ngumu kama jiwe ili gari iende songea na kurudi kinachotokea material yake hayaendani au nimagum sana mwishowe kwa safari ndefu hiyo lazima drum zipate moto sana.. au kingine ukigongea liner brake za kugongea basi huwa nene zaidi ya zile original hivyo lazima zitazingua sana.mpaka zitembelewe zipungue ndio itakaa sawa sasa wakati huo lazima drum zipate sana moto ndio shida hiyo ya kuungua hutokea..
 
mwanaspotiapp

mwanaspotiapp

Senior Member
Joined
Sep 21, 2017
Messages
195
Points
500
mwanaspotiapp

mwanaspotiapp

Senior Member
Joined Sep 21, 2017
195 500
Hapana sio kweli napingana na wengi kwamba shida ni barabara..kiuhalisia na kibongo bongo asilimia kubwa shida huwa kwetu ss wabongo na modification zetu za kidumu au kukaa mda mrefu bila kujali madhara yoyote yale..hapo lazima utakuta washafunga brake line za kugongea ngumu kama jiwe ili gari iende songea na kurudi kinachotokea material yake hayaendani au nimagum sana mwishowe kwa safari ndefu hiyo lazima drum zipate moto sana.. au kingine ukigongea liner brake za kugongea basi huwa nene zaidi ya zile original hivyo lazima zitazingua sana.mpaka zitembelewe zipungue ndio itakaa sawa sasa wakati huo lazima drum zipate sana moto ndio shida hiyo ya kuungua hutokea..
Mzee tupo kwenye ndinga moja nipo kulia kwako hapa na Uzi wa Manchester
 
feyzal

feyzal

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2016
Messages
1,076
Points
2,000
feyzal

feyzal

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2016
1,076 2,000
Walichofanya ni kulegeza zile brake ama busta za upande ule ulipozingu(sikusikia vizuri ) tukaendelea na safari bila shida na hakuna tena moto wala moshi ulionekana tulifika salama
Hapana sio kweli napingana na wengi kwamba shida ni barabara..kiuhalisia na kibongo bongo asilimia kubwa shida huwa kwetu ss wabongo na modification zetu za kidumu au kukaa mda mrefu bila kujali madhara yoyote yale..hapo lazima utakuta washafunga brake line za kugongea ngumu kama jiwe ili gari iende songea na kurudi kinachotokea material yake hayaendani au nimagum sana mwishowe kwa safari ndefu hiyo lazima drum zipate moto sana.. au kingine ukigongea liner brake za kugongea basi huwa nene zaidi ya zile original hivyo lazima zitazingua sana.mpaka zitembelewe zipungue ndio itakaa sawa sasa wakati huo lazima drum zipate sana moto ndio shida hiyo ya kuungua hutokea..
 
LEGE

LEGE

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Messages
5,062
Points
2,000
LEGE

LEGE

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2011
5,062 2,000
Ilikua ya makumbusho....kuna mda ilizingua ikasimama ukadrop sjui sikukuona tena
Hahahahaha okey sawa sawa mkuu.mda ule nilikuwa nipo lessi mbaya naharaka kuliko mda nilikuwa nimetoka kinyerezi kuna gari ilikuwa inazingua huko ni TATA XEON ya common rail .nilikwenda kuiwasha ikawa imewaka but inazingua nikawa nimefungua nozzel kwaajili ya kwenda kuzilekebisha na nilikuwa na kwenda kuzitengeneza tabata..
 
Forum statistics

Threads 1,303,749
Members 501,127
Posts 31,491,672
Top