Zoezi la Wahamiaji Dar ni double standard!

Mwamakula

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2010
Posts
1,890
Reaction score
384
Zoezi la kuwakamata wahamiaji haramu Dar limemkwepa Askofu Mkombo ambaye licha ya kwamaba ni mhamiaji haramu lakini amefoji cheti cha kuzaliwa na kufijo passpoti mda mfupi baada ya kumuoa Mfanyakazi wa serikali Ilala .

UMAFIA WA ASKOFU MULLILENGE MUKOMBO AU MKOMBO MUYUNDI FIDEL
Bw. MUKOMBO MUYODI (ASKOFU MULLILENGE MUKOMBO) amezaliwa tarehe 4/04/1963 eneo la BUTUMBA zone ya BUKAMA jimbo la KIMAKONDOLA nchi ya DRC.
Askofu Mukombo alimuoa mwanamke anayeitwa MARY katika kanisa la MALALATA EVENGERICAL CHURCH ambapo yeye alikuwa ni Mchngaji Kiongozi na kwamba mpaka sasa kanisa hilo lipo na linaongozwa na askofu Kabwe ambaye amethibitisha bayana mambo ypte haya!!
Wazazi wote wa askofu Mukombo wamefariki na wamezikwa BUTUMBA zone ya BUKAMA DRC.
Mama yake mzazi alifariki dunia miaka mwaka 2009 na Askofu mukombo aligoma kwenda kwenye msiba alipo itwa kuhofia kitendo cha kununua wazazi bandia hapa nchini!!.
Mary Mukombo alilazimika kwenda kwenye msiba huo akiwa peke yake huku familia ikishangaa uasi wa askofu Mukombo!!!
USHAHIDI UNAO ONYESHA KUWA MUKOMBO NI RAIA WA DRC
(a) Nyaraka kutoka DRC inaonyesha kuwa alisoma shulu Mkoa wa SHABA LUBUMBASHI (kwenye Chuo Cha Wakatoliki ambapo yeye alikuwa muumini wa Katoliki) na kupewa Cheti namba 718/81 ambacho kinaonyesha detail za mhitimu ukiwemo uraia wake Kama ifuatavyo:
Jina : MUKOMBO MUYODI
Tarehe ya Kuzaliwa :4/04/1963
Eneo alilo zaliwa: KIMAKONDOLO
Tarehe ya kuanza Masomo: 2/7/1979
Tarehe ya kumaliza Masomo :2/8/1980
(b) Tarehe 21/12/1989 Askofu Mukombo aliomba barua ya uthibitisho wa uraia kwa mkurugenzi wa kituo cha ustawi wa jamii Kamalondo Lubumbashi Bw YAVKULOZ CHITUIL na akapewa barua ya Uthibitisho wa Uraiawa DRC iliyotolewa na Mkoa wa Shaba iliyobainisha yafuatayo:
Jina : MUKOMBO MUYODI
Tarehe ya Kuzaliwa :04/04/1963
Eneo la kuzaliwa :KIMAKONDOLO
(c) Tarehe 26/04/1993 Mukombo aliapishwa kwa Wakili kama raia kwa DRC wakati anaomba udhamini wa kupata kazi.
(d) Tarehe 19/07/1997 ,Askofu Mukomba alisajiri huduma ya House of Prayer reform Church na kupewa Tarehe 6/11/1998 na wakati anasajiri alijitambulisha kuwa ni raia wa DRC Kongo na wakati huo alikua bado hajafika Tanzania wala hana huduma yoyote hapa..Mchungaji Mwakabenga (0752 194259) wa mjini Tunduma Mbeya ndiye aliye mkuta Askofu Mukombo Zambia akiwa na mkewe Mary wakiwa wanaishi kwa taabu sana na kumukalibisha Tanzania.
JINSI AKOFU MUKOMBO ALIVYOINGIA NCHINI NA KUNUNUA WAZAZI BANDIA
Askofu mukombo anatajwa kuja nchini Tanzania akiwa na Mkewe Mary mukombo na watoto wawili ( NOLA na ABIGAEL) ambao wote walizaliwa Zambia.
Alianza kufanya njama za kufahamiana na Watendaji wa serikali ,na ili kupata usajili wake wa Kanisa lakini akakwama kwa kuwa yeye hakuwa Raia.
Jaribio la Kwanza alimutumia Askofu Joshua Mhonzya (0763 696731) wa Mbozi Mbeya na alimupa aliandaa katiba ya huduma ya HOUSE OF PRAYER REFORM CHURCH ambaye alikuwa anaitumia Zambia.
Askofu Mhonzya alimupa masharti kuwa kwa kuwa yeye (Mukombo ) si raia basi Katika Usajiri huo katiba ionyeshe kuwa nafasi ya askofu Mkuu itakuwa inashikiriwa na Joshua Mhonzya.
Mapendekezo hayo Mukombo hakupenda na alikubali shingo upande , muda mufupi baada ya usajiri kukamilika , Cheti kililetwa , lakini Mukombo hakufurai na kukosana kabisa na Joshua Mhohonzya hadi leo!!
Mukombo alianza kufanya jitihada za kupata usajiri wa Kanisa kwa jina lingine kwa kutoa Rushwa kwa Maofisa wa uhamiaji.
MUKOMBO MUYODI ATOA RUSHWA NA KUSAJIRI KANISA!!!!
Wakati Mukombo ana haha kusajiri kanisa jipya alipata umaarufu sana mkoani Mbeya kwa kuwapaka mafuta matakatifu yanayotengenezwa kwa Mafuta ya Nguruwe,Mafuta ya Alizeti, Vitunguu Swaumu na Mizeituni.
Mwanzoni mwa Mwaka 2006, tayari Mukombo alijipatia umaarufu na kujikita eneo la Pambogo mkoani mbeya na kuwanasa Viongozi wote ikiwemo kamati ya Ulinzi na Usalama kwa kuwanyesha mafuta hayo na kupaka katika nyumba zao kwa maelezo kuwa yanasaidia kujilinda na wachawi na kupata nyota ya siasa na utawala.
Baada ya umaarufu huo aliandaa katiba ya HOUSE OF PRAYER SHIEL OF FAITH CHRISTIAN FELLOWSHIP na kumukabidhi Mch Gabriel Maganga akiambatana na Rushwa ya Tshs 5000,0000/= ambayo ilitolewa kwa Afisa Msajiri wa makanisa wizara ya mambo ya ndani chumba namba 7 aitwaye MWAHIMU na kusajiri kanisa hilo kwa siku saba tu!!
Kwa sasa Mhe Mwahimu amehamishiwa idara ya Zima Moto kutokana na Kashifa hiyo.
MULOMBO ANAHONGA AFISA UHAMIAJI NA KUNUNUA WAZAZI BANDIA
Mwaka 2004 Mukombo alianza harakati kubwa za kutafuta wazazi wa kununua ili apate uraia passport na baadaye kumiliki kanisa kubwa na kuendesha biashara ya madini na baadaye agombee Ubunge!
Katika hatua ya kwanza alifanikiwa kumununua Mzee AMBINDWILLE HAKIMU KAMEKA na mkewe ENALA D/O WANGONDE kama wazazi bandia wote wakazi wa Mbozi ambao waliungana na Afisa uhamiaji mkoa wa Mbeya Bw R. A. MATANA na kughushi nyaraka za Uraia na kumupatia Cheti Cha kuzaliwa .
Uchunguzi umebaini kuwa Tarehe 3/11/2004 Bi ENAL WANGONDE aliapa mbele ya wakili Burton Yesaya Mahenge kuwa yeye Enela alimzaa MULILLEGE MKOMBO tarehe 1/1/1963 katika kijiji cha IGEMBE wilaya ya Rungwe Mkoa wa Mbeya na kwamba mukombo ni motto wake wa pili.
Pia kiapo hicho kinaonyesha kuwa Mukombo alipewa Cheti cha kuzaliwa No. B-0128005 serial 8899 kilichotolewa wilaya ya Rungwe.
Tarehe 8/11/2004 Afisa uhamiaji Mkoa wa Mbeya alimuthibitisha kwa umma wa Watanzania Bw MULILLEGE MKOMBO kuwa ni raia wa Tanzania .
Tarehe 26/04/2005 Afisa Uhamiaji Mkoa wa Mbeya Bw Matata alimupatia Bw MULILLEGE MKOMBO –MUYONDI KAMETA, PASIPOTI ya Kusafiria Namba AB004617 ambayo mwisho wake wa kutumika ni tarehe 25/4/2015 ambayo mpaka sasa inashikiriwa na idara ya uhamiaji kwa uchunguzi zaidi.
Tarehe 19 /11/2007 Afisa Uhamiaji Mkoa wa Mbeya alimwandikia askofu Mukombo barua akimukabidhi mchango wa Tshs 110,000/= kama msaada wa kuhubili Injili!!
Tarehe 30/06/2009 Askofu Mukombo alimwandikia barua Rais Jakaya Kikwete yenye kichwa hali ya kisiasa Mkoa wa Mbeya huku akilenga kumupongeza Afisa Uhamiaji mkoa Bw R.A. Matana Kwa Kazi nzuri ya kupambana na Wahamiaji haramu na kumuomba Rais Kikwete amwache huyo Afisa aendelee Kubaki Mkoani Mbeya kwani utendaji wake ni mzuri!!
UMAFIA NA USHIRIKINA WA ASKOFU MUKOMBO NA NDOTO ZA UBUNGE!!
Baada ya kupata passport , Askofu Mukombo amezunguka na Mch Gabriel Maganga katika chizifuatazo;(KENYA,UGANDA,ZIMBABWE,ZAMBIA,BOTSWANA,SUDANI,GHANA, ETHIOPIA)
Muda wote huo , Mch Gabriel Maganga ndiye aliyeshuhudia utengenezaji wa Mafuta Matakatifu na kuhusika kuwanyeshwa na kuwapaka viongozi mbalimbali wa Serikali na wafanya biashara maarufu nchini.
Mafuta hayo Matakatifu ambayo yanatajwa kuwa yananguvu ya kishirikina huwa yanatumika sana katika matambiko kule DRC Kongo ambapo ukoo wa Mukombo ni Ma-Chofu na ni mchanganyiko wa mafuta ya Nguruwe, Mafuta ya alizeti na vitunguu Swaumu na dawa ya kupumbaza akili.
Mch Gabriel anasema mafuta hayo yamenyeshwa kwa watu wafuatao :
Waziri Mkuu Mizengo Pinda,Waziri Capt John Chiligati,Waziri Aggrey Mwanri
Waziri Hawa Ghasia,Mh Philopo Marmo,Waziri Balozi Seif Iddi,Waziri Mwantuma Mahiza,Waziri Khamisi Kagasheki,Waziri Shamsa Mwangunga
Waziri Laurence Masha,Pius Msekwa,Mh John Mwakipesile,Mh Harrison Mwakyembe,Mh Msha Chang’a, Mwanasheria mkuu wa serikali Fredrick Werema
IGP Said Mwema,DCI Manumba,Jaji Upendo Msuya,Mh Philipo Mangula
Mh John malechela,Mh Anna Kilango, na wengine wengi.
Kutokana na mufumo huu wa Maombi anayofanya Askofu Mukombo ni lazima musika anywe mafuta na kupakaa mwilini na hata kupaka nyumbani kwake kama kinga ya wachawi na nyota ya siasa.
Katika tukio la kutisha Mke wa Philipo Mangula alikuwa mgonjwa na kuzidiwa sana, askofu mukombo akamwambia Mangula kuwa asimupeleke mkewe Hosipitali kwa kuwa amelogwa hivyo dawa iliyopo ni mafuta matakatifu tu. Mangula alisikiliza ushauli wa askofu Mukombo na kukubali mkewe kuvua nguo kuanzia kiononi na kupakwa mafuta mwilini na sehemu za matiti huku wanaofanya kazi hiyo wakiwa ni wanaume.
Shuhuda wa tukio hilo anasema Mangula alitoa Tshs 5,000,000/ kwa Mukombo lakini waliofanya kazi hiyo hawakupata kitu lakini mugonjwa alikufa baada ya masaa mawili tu na hicho ndicho chanzo cha chuki kati ya Mangula na askofu mukombo.
Vilevile Waziri Hawa Ghasia naye alikunywa mafuta hayo na kupaka kwenye thamani zote za nyumba na kutoa cheki ya Tshs 2,500,000/=lakini baadaye baada ya kugundua kuwa ametapeliwa ameondoa thamani zote na kuvunja kiti alichokuwa amekalia Askofu Mukombo na hadi sasa hataki kumusikia tena!!
Hali kama hiyo imejitokeza kwa Mizengo Pinda!!!
Kwa Kifupi Askofu Mukombo amekuwa anawanywesha Mawaziri, Wabunge Wakuu wa mikoa Mafuta Matakatifu na kupewa zaidi ya Tshs 5,000,000/= kutoka kwenye fungu la serikali na baadaye kuwapa maelekezo ya kuwafukuza watawala ambao wanakataa mafuta yake huku akiwaifu wanaokunywa .
Tarehe 5/1/2009 Askofu Mukombo alimwandikia Rais Kikwete barua yenye kichwa MAKANISA BANDIA MKOANI MBEYA ikimutaka kuyafungia makanisa hayo huku akimulenga askofu Joshua Mhonzya ambaye alimupokea akitokea Zambia.
Tarehe 30/6/2009 Askofu Mukombo alimwandikia Rais kikwete barua ya kumwagiza awafukuze Wabunge wote wa mkoa wa Mbeya (akimulenga Dr Mwakyembe) ambao wanamchafua Mh John Mwakipesile,kisa kikiwa ni pesa Tshs 5,000,000/ ambayo Askofu Mukombo alimuomba Mh Mwakyembe amuchangie lakini hakupewa!!!
Kwa barua hiyo hiyo anamupongeza Kamanda Kova na Mh Said salimini kwa kuwa wamemulinda mupaka akapata Uraia Mkuoani hapo ,jambo ambalo ni matusi makubwa kwa vyombo vya dola.
NJAMA ZA ASKOFU MUKOMBO KUTEKA WABUNGE NA MAWAZIRI!!
ASKOFU MUKOMBO alikuwa na mbinu kubwa ambapo kila waziri na mbunge aliyemunywesha Mafuta matakatifu alikuwa anaomba contact na baadaye kumwandikia barua ya Pongezi na salamu za sikukukuu au mwaka mpya au pongezi kwa uteuzi.
Baada ya barua hizo , Mawaziri hao wamekuwa wanajibu barua hizo kwa kutumia nembo ya serikali na kuzihifadhi kama rekodi ya mawasiriano na serikali na kujipa uhalali wa kutambuliwa na serikali na kupenya kwenye dola na Ikulu kwa ajili ya Ubunge!!!
Mbinu hiyo ya MUKOMBO ilienda sambamba na kuamua kumuoa mwanmke ambaye ni mufanyakazi serikalini ili apate uahali kwa serikali kwani hofu yake ilikuwa ni uraia na ni kwa sababu hii alianza mahusiano na Greener Mwakabenga (0717 655775) mke wa Abeid Mwamufupe mbunge wa Zamani mkoani Mbeya.
Greener anatabia ya kupora wanaume kwa uroho wa mali na kabla ya hapo Abeid Mwamufupe alikuwa na wanawke sita na Greener aliingilia ndoa hiyo na kufanikisha kuwafukuza wanawake wenzake ambao walikuwa ni wazee sanaa!!.
Wakati Mukombo akiwa na Kanisa pale Pambogo Mbeya, Mzee Mwamufupe na Mkewe Greener walikuwa ni waumini wa Askofu Mukombo huku Greener akifanya ngono na askofu Mukombo kwa siri kubwa.
Greener ambaye alikuwa Mwasibu wa Halmshauri Mbeya alipewa nafasi ya kuwa muweka hazina wa kanisa huku akiwa siginatory wa pesa Benki!!
Muda mfupi Mzee Wamufupe alianza kuugua na kuzidiwa na aliombewa sana na Askofu Mukombo na kabla ya kuzidiwa sana Greener na Askofu Mukombo walianza juhudi za Kuoana huku wakifanya njama za kutaifisha mali za Mzee Mwamufupe ili kuficha mirathi.
Askofu Mukombo alianza njama za kumufukuza mkewe Mary Mukombo ili kufanikisha Ndoa yake na Greener kabla ya Kifo Cha Mzee Mwamufupe.
Baada ya kifo cha Mwamufepe , mazishi yalifanyika huku Mukombo akikamilisha maandalizi ya ndoa na Greener . Miezi miwili baadaye mama yake Mary Mukombo alifariki dunia na kutakiwa kwenda kwenye mazishi DRC Kongo, Askofu Mukombo alisuka njama na kutoa udhuru wa kwenda kwenye msiba huo na kusababisha Mary kwenda pekee DRC na ariporudi alikuta Greener ameolewa na askofu Mukombo tayari na amepewa kuwa mama Mchungaji.
Mgogoro ulianza kati ya askofu Mukombo na Mary kiasi cha Mary kukimbia hapa nchini na Kurudi DRC hadi leo.
HISIA ZA WAUMINI WA ASKOFU MUKOMBO MBEYA NA TANZANIA
Wapo waumini wengi na wachungaji wa Kanisa hilo walihoji uhalali wa ndoa hiyo na kuanza kumushambulia Askofu kuwa amekiuka maadili.
Waliojitenga na Mukombo ni pamoja na Mch Amos (0755 934991),na Mch Mwakabega wa Tunduma na wenzake.
Kutokana na Kashifa hii kutokea Mkoani Mbeya , Greener alisuka njama za Kuhama Mkoani Mbeya na kuhamia DSM ambapo alijikita maeneo ya BOKO mageneni DSM na watu waliomupokea bila kujua ni pamoja na Bi DOROTH MUTASA,na Bi Eliza ambao walimupa Ushirikiano mkubwa hadi huduma yake ikapanda juu.!
UMAFIA WA GREENER MWAMUFUPE DHIDI YA MUKOMBO.
Baada ya kukaa kwa muda hapa DSM, Greener alihamishiwa kutoka Halmshauri na sasa yupo halmashuri ILala na kwa wakati huu ambapo Askofu mukombo amenyang’anywa Pasport na serikali ipo hofu kuwa huenda akafukuzwa nchini kutokana na uhalifu.
Uchunguzi umebaini kuwa tayari Greener amemunasa Mukombo kwa kumumilikisha mali zote zake na za Kanisa. Tayari amefunga bemki akaunti zote na kuhamisha pesa hizo katika akauti za Greener na sasa pesa yoyote Mukombo akitaka ni lazime Greener awepo.
Greener alimwambia Mukombo kuwa kwa kuw yeye si raia basi upo uwezakano wa kumunyang’anya mali yakiwemo mashamba ambayo anayamiki kwa kuwatapeli watu!!
Pia Greener amemuoza kwa siri motto wake aitwaye Eddy Mwamufupe kwa MUSSA RICHARD ambaye anamuandaa kuwa Akofu wa Kanisa hilo endapo Mukombo ataondolewa nchini na Kwa sasa Mussa Richard yupo Nairobi kihuduma ili kuficha mipango hiyo.
Eddy Mwamufupe alifukuzwa nchini China baada ya kuhusika na ukahaba kwenye madanguro ambapo alihisiwa anafanya biashara za dawa za kulevya.
Hata hivyo Mukombo amekuwa na Uhusiano wa Karibu na Mufanyabiashara mukubwa aitwaye DANCAN .I . KAJOKA (Mtuhumiwa wa madawa ya kulevya)ambaye anatajwa kufanya biashara zake Marekani na Dubai na sasa ndiye amemnunulia gari la kifahari Askofu Mukombo na sasa amepanga kununua VOGI.
Ukaribu wa Mukombo na Kajoka unatajwa kuwa ni mupango wa maandalizi wa kuondolewa hapa nchini!!
Tarehe 15/04/2012 ASKOFU MUKOMBO akiwa kanisani Boko aliwatangazia waumini kuwa usiku wa kuamukia siku hiyo YESU amemtokea na kumwambia siku zake si nyingi hapa duniani na waumini wakashangaa sana!!
Wapo waumini waliomufuata ili kuthibitisha ule unabii aka wambia Yesu atakaye nichukua atawambia mtu mwingine wa kuwasadia!!
Katika hatua nyingine Greener ameandika barua za uchonganishi kuwachochea wale waumini wote ambao walikuwepo wakati wa Mary Mukombo na kupanga njama za kuwafukuza ili aweze kuteka mali huku waumini wapywa wakiwa hawajui historia yoyote , Wanawake hao wa zamani wanaundiwa njama za kufanya ukahaba na baadhi ya barua za tuhuma hizo zimepelekwa wizara ya mambo ya ndani na vyombo vya habari. Tarehe 21/04/2012 wamefukuzwa waumini awamu ya kwanza na na wale wote watakao salimiana nao kufukuzwa pia , hiyo inalenga kuwafukuza wazee wa zamani kwani ni kero kwake.
Siku hiyo hiyo Askofu Mukombo kamutangaza Greener kuwa kuhani mkuu na kila ataye medharau atafukuzwa bila kikao. Watu waliopo pale kanisani wanasema hayo ni maandalizi makubwa ya kubadili madaraka!!
Greener ameunda kikosi kazi cha wanaume ambacho kinafuatilia watu wote ambao wameondoka hapo kanisani ili kujua kama wanatoa siri za Mukombo.
GREENER MWAKABENGA (MKE WA MAREHEMU MBUNGE OBEID MWAMFUPE)
SIKU moja baada ya gazeti la Tanzania Daima kuandika habari ya kupotea kwa Askofu wa Kanisa la House of Prayer Shield of Faith Christian Fellowship, Mulilenge Mkombo na polisi kukanusha, mkewe Gilina Mkombo, amejitokeza na kumuomba Rais Jakaya Kikwete aingilie kati.
Akizungumza na Tanzania Daima Jumapili, GREENER Mkombo alisema familia yake haijui ni kwanini mumewe apewe mateso makubwa kwa kushikiliwa na Jeshi la Polisi ambalo amedai linashirikiana na Idara ya Uhamiaji.
Alisema si kweli kwamba Askofu Mkombo ameachiwa huru tangu Jumatano kama polisi walivyonukuliwa na gazeti hili toleo la jana, bali askofu huyo ameswekwa rumande, kwenye Kituo cha Polisi Tazara, huku akiwa mgonjwa na hapatiwi matibabu yoyote.
Alisema pamoja na kutompatia matibabu yoyote, Jeshi la Polisi limekataa dhamana kwa askofu huyo licha ya mke wake na nduguze kujitokeza kumdhamini.
Aliongeza kuwa baada ya kutomuona kwa muda walipelekewa taarifa na wasamaria wema kuwa Askofu Mkombo ameswekwa rumande katika kituo cha polisi Tazara huku hali yake ikiwa mbaya.
“Tulipoelezwa hivi tulikwenda pale Polisi Tazara na kweli tukamkuta, amewekwa rumande, tukazungumza naye akatuambia mambo ambayo kwa kweli yalituacha midomo wazi,” alisema Gilina.
“Mume wangu aliniambia kuwa baada ya kutolewa gerezani, alipakiwa kwenye ndege ya Shirika la Kenya (KQ) wakipitia Nairobi, Kenya, Ndola, Zambia na baadaye kutua Lubumbashi, nchini DR Congo, kisha maofisa wa Uhamiaji na askari polisi waliomsindikiza wakamtaka ashuke wakimwambia amefika kwao,” anasema.
Aliongeza kwa kuwa hakuwa na nyaraka zozote, mamlaka ya DR Congo uwanjani hapo ilikataa kumtambua wala kumpokea, kuona hivyo wakaamua kumpeleka mjini Kinshasa, lakini huko nako wakaulizwa nyaraka zenye mihuri ya balozi wa DR Congo nchini Tanzania lakini hawakuwa nazo hivyo nako akakataliwa ikabidi warudi naye.
Anasema baada ya kukataliwa na serikali ya DR Congo, walirudi naye na baada ya kushuka Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere walimpeleka hadi kituo hicho cha Polisi Tazara na kumtupa ndani anakoshikiliwa hadi sasa bila kupelekwa mahakamani.
Alimuomba Rais Jakaya Kikwete aingilie kati suala hili na kumuokoa Askofu Mkombo ambaye chuki za makanisa zinasababisha ateseke na sasa anakaribia kufa akiwa katika vyombo vya dola ambavyo amedai vinatumiwa na watu wanaolionea wivu kanisa lao.
 
kiswahili chako kinaonyesha wewe si mtanzania, alafu ninachokiona hapa ni uchu wa madaraka unawatesa wote mnataka mwenzenu abebwe msobe msobe ili mbaki na kanisa mle sadaka zetu!
 
Hii sio doulble stard!muhusika hayupo kwahiyo hawezi ku prove kama hayo uliyo ya sema wewe ni yaukweli mimi naona kama wivu tu wasaadaka nyinyi ndugi zangu kweli kila kitu ni deal tu na saadaka ndio zinakutoeni roho mpaka mnamwagiana tindikali mnawasingizia waislamu sasa hivi data zote kwanini usizipeleke kwenye vyombo husika unaleta hapa?
 
Kufa kufaana watu wanatumia Fursa hii vizuri ili wafaidi vya wale Wageni walioathilika na Zoezi la Fukuza Wahamiaji Haramu kumbuka kila zoezi huwa lina faida na Hasara zake hivi sasa ni Mda wa Mavuno kwa Askari wa Uhamiaji sambamba na Wajanja watumia fursa kumbuka mwenye pesa hakamatwi na hata akikamatwa anaachiwa haraka na kutengenezewa vibali faster na kuishi bila pressure lakini wale Masikini wenye pesa ndogo wao Ndio wanaozea jela na kuludishwa kwao huku Mali zao na vijicent vyao vikiliwa na wajanja ambao wapo busy wakivuna pesa za wahamiaji kwa kisingizio cha kuwasaidia wasikamatwe na kuludishwa kwao hili zoezi limejaa changamoto nyingi sana na kufanikiwa kwa 100% ni vigumu sana kutokana na kugubikwa na wimbi la Rushwa .
 
Hii sio doulble stard!muhusika hayupo kwahiyo hawezi ku prove kama hayo uliyo ya sema wewe ni yaukweli mimi naona kama wivu tu wasaadaka nyinyi ndugi zangu kweli kila kitu ni deal tu na saadaka ndio zinakutoeni roho mpaka mnamwagiana tindikali mnawasingizia waislamu sasa hivi data zote kwanini usizipeleke kwenye vyombo husika unaleta hapa?
Hawa wangekuwa wamemwagiana tindikali au kuuwana,ingesemwa ni waislamu.Mahali kokote kwenye kula ugomvi hawishi.
 
Wafanye Kama Obama alivyofanya baada ya kugundua kuna wageni wengi wanaishi America kienyeji akaamuru wale wote walokaa Miaka 10 pasipo kuwa na kosa la jinai wapewe Uraia ili walipe kodi kwani imebainika mtu akiishi kienyeji hukwepa kodi hivyo kuikosesha Nchi mapato makubwa japo wahamiaji wa Tanzania wao wanapiga kura na kuchagua viongozi lakini baadhi Yao ni Waharifu na waharibifu wa mazingra huku wahamiaji wengi wamejificha uswahili ndani ndani wasipofika kirahisi wale wanawasaka wahamiaji haramu watangaziwe ipite Elimu kwenye Tv na Radio Pia. Magazeti waelimishwe jinsi ya kuwatambua wageni na wanapaswa wafanye nini pindi wakimbaini mgeni ili kuepusha utaperi ambao sasa umejitokeza
 
Unasoma taarifa dar mpk moro haiishi.!! Kisa ni SADAKA TU.!!
 
Nimecheka sana badala ya kusikitika, hii habari kama ina ukweli basi huyo mtu ni hatari sana yaani ameweza kuwatapeli vigogo wa nchi hii kwa kuwapaka mafuta ya nguruwe?
 
Kaburi hili dah
Kumbe huyo jamaa ana makandokando mengi sana. Si ajabu hata hao watu walikokuwa wanafariki alikuwa anawaua yeye kwa kuwapa sumu. Halafu kuna watu wanamtetea bila kujua ni mtu wa iana gani.
 
Mama Hawa Ghasia aliondoa vipi hiyo haramu ha haaaa ..
JF ni archive nzuri sana. Kuna siku makumbusho ya taifa au maktaba kuu watakuja kutafuta kumbukumbu humu JF.
 
Acha chuki na wivu
Zoezi la kuwakamata wahamiaji haramu Dar limemkwepa Askofu Mkombo ambaye licha ya kwamaba ni mhamiaji haramu lakini amefoji cheti cha kuzaliwa na kufijo passpoti mda mfupi baada ya kumuoa Mfanyakazi wa serikali Ilala .

UMAFIA WA ASKOFU MULLILENGE MUKOMBO AU MKOMBO MUYUNDI FIDEL
Bw. MUKOMBO MUYODI (ASKOFU MULLILENGE MUKOMBO) amezaliwa tarehe 4/04/1963 eneo la BUTUMBA zone ya BUKAMA jimbo la KIMAKONDOLA nchi ya DRC.
Askofu Mukombo alimuoa mwanamke anayeitwa MARY katika kanisa la MALALATA EVENGERICAL CHURCH ambapo yeye alikuwa ni Mchngaji Kiongozi na kwamba mpaka sasa kanisa hilo lipo na linaongozwa na askofu Kabwe ambaye amethibitisha bayana mambo ypte haya!!
Wazazi wote wa askofu Mukombo wamefariki na wamezikwa BUTUMBA zone ya BUKAMA DRC.
Mama yake mzazi alifariki dunia miaka mwaka 2009 na Askofu mukombo aligoma kwenda kwenye msiba alipo itwa kuhofia kitendo cha kununua wazazi bandia hapa nchini!!.
Mary Mukombo alilazimika kwenda kwenye msiba huo akiwa peke yake huku familia ikishangaa uasi wa askofu Mukombo!!!
USHAHIDI UNAO ONYESHA KUWA MUKOMBO NI RAIA WA DRC
(a) Nyaraka kutoka DRC inaonyesha kuwa alisoma shulu Mkoa wa SHABA LUBUMBASHI (kwenye Chuo Cha Wakatoliki ambapo yeye alikuwa muumini wa Katoliki) na kupewa Cheti namba 718/81 ambacho kinaonyesha detail za mhitimu ukiwemo uraia wake Kama ifuatavyo:
Jina : MUKOMBO MUYODI
Tarehe ya Kuzaliwa :4/04/1963
Eneo alilo zaliwa: KIMAKONDOLO
Tarehe ya kuanza Masomo: 2/7/1979
Tarehe ya kumaliza Masomo :2/8/1980
(b) Tarehe 21/12/1989 Askofu Mukombo aliomba barua ya uthibitisho wa uraia kwa mkurugenzi wa kituo cha ustawi wa jamii Kamalondo Lubumbashi Bw YAVKULOZ CHITUIL na akapewa barua ya Uthibitisho wa Uraiawa DRC iliyotolewa na Mkoa wa Shaba iliyobainisha yafuatayo:
Jina : MUKOMBO MUYODI
Tarehe ya Kuzaliwa :04/04/1963
Eneo la kuzaliwa :KIMAKONDOLO
(c) Tarehe 26/04/1993 Mukombo aliapishwa kwa Wakili kama raia kwa DRC wakati anaomba udhamini wa kupata kazi.
(d) Tarehe 19/07/1997 ,Askofu Mukomba alisajiri huduma ya House of Prayer reform Church na kupewa Tarehe 6/11/1998 na wakati anasajiri alijitambulisha kuwa ni raia wa DRC Kongo na wakati huo alikua bado hajafika Tanzania wala hana huduma yoyote hapa..Mchungaji Mwakabenga (0752 194259) wa mjini Tunduma Mbeya ndiye aliye mkuta Askofu Mukombo Zambia akiwa na mkewe Mary wakiwa wanaishi kwa taabu sana na kumukalibisha Tanzania.
JINSI AKOFU MUKOMBO ALIVYOINGIA NCHINI NA KUNUNUA WAZAZI BANDIA
Askofu mukombo anatajwa kuja nchini Tanzania akiwa na Mkewe Mary mukombo na watoto wawili ( NOLA na ABIGAEL) ambao wote walizaliwa Zambia.
Alianza kufanya njama za kufahamiana na Watendaji wa serikali ,na ili kupata usajili wake wa Kanisa lakini akakwama kwa kuwa yeye hakuwa Raia.
Jaribio la Kwanza alimutumia Askofu Joshua Mhonzya (0763 696731) wa Mbozi Mbeya na alimupa aliandaa katiba ya huduma ya HOUSE OF PRAYER REFORM CHURCH ambaye alikuwa anaitumia Zambia.
Askofu Mhonzya alimupa masharti kuwa kwa kuwa yeye (Mukombo ) si raia basi Katika Usajiri huo katiba ionyeshe kuwa nafasi ya askofu Mkuu itakuwa inashikiriwa na Joshua Mhonzya.
Mapendekezo hayo Mukombo hakupenda na alikubali shingo upande , muda mufupi baada ya usajiri kukamilika , Cheti kililetwa , lakini Mukombo hakufurai na kukosana kabisa na Joshua Mhohonzya hadi leo!!
Mukombo alianza kufanya jitihada za kupata usajiri wa Kanisa kwa jina lingine kwa kutoa Rushwa kwa Maofisa wa uhamiaji.
MUKOMBO MUYODI ATOA RUSHWA NA KUSAJIRI KANISA!!!!
Wakati Mukombo ana haha kusajiri kanisa jipya alipata umaarufu sana mkoani Mbeya kwa kuwapaka mafuta matakatifu yanayotengenezwa kwa Mafuta ya Nguruwe,Mafuta ya Alizeti, Vitunguu Swaumu na Mizeituni.
Mwanzoni mwa Mwaka 2006, tayari Mukombo alijipatia umaarufu na kujikita eneo la Pambogo mkoani mbeya na kuwanasa Viongozi wote ikiwemo kamati ya Ulinzi na Usalama kwa kuwanyesha mafuta hayo na kupaka katika nyumba zao kwa maelezo kuwa yanasaidia kujilinda na wachawi na kupata nyota ya siasa na utawala.
Baada ya umaarufu huo aliandaa katiba ya HOUSE OF PRAYER SHIEL OF FAITH CHRISTIAN FELLOWSHIP na kumukabidhi Mch Gabriel Maganga akiambatana na Rushwa ya Tshs 5000,0000/= ambayo ilitolewa kwa Afisa Msajiri wa makanisa wizara ya mambo ya ndani chumba namba 7 aitwaye MWAHIMU na kusajiri kanisa hilo kwa siku saba tu!!
Kwa sasa Mhe Mwahimu amehamishiwa idara ya Zima Moto kutokana na Kashifa hiyo.
MULOMBO ANAHONGA AFISA UHAMIAJI NA KUNUNUA WAZAZI BANDIA
Mwaka 2004 Mukombo alianza harakati kubwa za kutafuta wazazi wa kununua ili apate uraia passport na baadaye kumiliki kanisa kubwa na kuendesha biashara ya madini na baadaye agombee Ubunge!
Katika hatua ya kwanza alifanikiwa kumununua Mzee AMBINDWILLE HAKIMU KAMEKA na mkewe ENALA D/O WANGONDE kama wazazi bandia wote wakazi wa Mbozi ambao waliungana na Afisa uhamiaji mkoa wa Mbeya Bw R. A. MATANA na kughushi nyaraka za Uraia na kumupatia Cheti Cha kuzaliwa .
Uchunguzi umebaini kuwa Tarehe 3/11/2004 Bi ENAL WANGONDE aliapa mbele ya wakili Burton Yesaya Mahenge kuwa yeye Enela alimzaa MULILLEGE MKOMBO tarehe 1/1/1963 katika kijiji cha IGEMBE wilaya ya Rungwe Mkoa wa Mbeya na kwamba mukombo ni motto wake wa pili.
Pia kiapo hicho kinaonyesha kuwa Mukombo alipewa Cheti cha kuzaliwa No. B-0128005 serial 8899 kilichotolewa wilaya ya Rungwe.
Tarehe 8/11/2004 Afisa uhamiaji Mkoa wa Mbeya alimuthibitisha kwa umma wa Watanzania Bw MULILLEGE MKOMBO kuwa ni raia wa Tanzania .
Tarehe 26/04/2005 Afisa Uhamiaji Mkoa wa Mbeya Bw Matata alimupatia Bw MULILLEGE MKOMBO MUYONDI KAMETA, PASIPOTI ya Kusafiria Namba AB004617 ambayo mwisho wake wa kutumika ni tarehe 25/4/2015 ambayo mpaka sasa inashikiriwa na idara ya uhamiaji kwa uchunguzi zaidi.
Tarehe 19 /11/2007 Afisa Uhamiaji Mkoa wa Mbeya alimwandikia askofu Mukombo barua akimukabidhi mchango wa Tshs 110,000/= kama msaada wa kuhubili Injili!!
Tarehe 30/06/2009 Askofu Mukombo alimwandikia barua Rais Jakaya Kikwete yenye kichwa hali ya kisiasa Mkoa wa Mbeya huku akilenga kumupongeza Afisa Uhamiaji mkoa Bw R.A. Matana Kwa Kazi nzuri ya kupambana na Wahamiaji haramu na kumuomba Rais Kikwete amwache huyo Afisa aendelee Kubaki Mkoani Mbeya kwani utendaji wake ni mzuri!!
UMAFIA NA USHIRIKINA WA ASKOFU MUKOMBO NA NDOTO ZA UBUNGE!!
Baada ya kupata passport , Askofu Mukombo amezunguka na Mch Gabriel Maganga katika chizifuatazo;(KENYA,UGANDA,ZIMBABWE,ZAMBIA,BOTSWANA,SUDANI,GHANA, ETHIOPIA)
Muda wote huo , Mch Gabriel Maganga ndiye aliyeshuhudia utengenezaji wa Mafuta Matakatifu na kuhusika kuwanyeshwa na kuwapaka viongozi mbalimbali wa Serikali na wafanya biashara maarufu nchini.
Mafuta hayo Matakatifu ambayo yanatajwa kuwa yananguvu ya kishirikina huwa yanatumika sana katika matambiko kule DRC Kongo ambapo ukoo wa Mukombo ni Ma-Chofu na ni mchanganyiko wa mafuta ya Nguruwe, Mafuta ya alizeti na vitunguu Swaumu na dawa ya kupumbaza akili.
Mch Gabriel anasema mafuta hayo yamenyeshwa kwa watu wafuatao :
Waziri Mkuu Mizengo Pinda,Waziri Capt John Chiligati,Waziri Aggrey Mwanri
Waziri Hawa Ghasia,Mh Philopo Marmo,Waziri Balozi Seif Iddi,Waziri Mwantuma Mahiza,Waziri Khamisi Kagasheki,Waziri Shamsa Mwangunga
Waziri Laurence Masha,Pius Msekwa,Mh John Mwakipesile,Mh Harrison Mwakyembe,Mh Msha Changa, Mwanasheria mkuu wa serikali Fredrick Werema
IGP Said Mwema,DCI Manumba,Jaji Upendo Msuya,Mh Philipo Mangula
Mh John malechela,Mh Anna Kilango, na wengine wengi.
Kutokana na mufumo huu wa Maombi anayofanya Askofu Mukombo ni lazima musika anywe mafuta na kupakaa mwilini na hata kupaka nyumbani kwake kama kinga ya wachawi na nyota ya siasa.
Katika tukio la kutisha Mke wa Philipo Mangula alikuwa mgonjwa na kuzidiwa sana, askofu mukombo akamwambia Mangula kuwa asimupeleke mkewe Hosipitali kwa kuwa amelogwa hivyo dawa iliyopo ni mafuta matakatifu tu. Mangula alisikiliza ushauli wa askofu Mukombo na kukubali mkewe kuvua nguo kuanzia kiononi na kupakwa mafuta mwilini na sehemu za matiti huku wanaofanya kazi hiyo wakiwa ni wanaume.
Shuhuda wa tukio hilo anasema Mangula alitoa Tshs 5,000,000/ kwa Mukombo lakini waliofanya kazi hiyo hawakupata kitu lakini mugonjwa alikufa baada ya masaa mawili tu na hicho ndicho chanzo cha chuki kati ya Mangula na askofu mukombo.
Vilevile Waziri Hawa Ghasia naye alikunywa mafuta hayo na kupaka kwenye thamani zote za nyumba na kutoa cheki ya Tshs 2,500,000/=lakini baadaye baada ya kugundua kuwa ametapeliwa ameondoa thamani zote na kuvunja kiti alichokuwa amekalia Askofu Mukombo na hadi sasa hataki kumusikia tena!!
Hali kama hiyo imejitokeza kwa Mizengo Pinda!!!
Kwa Kifupi Askofu Mukombo amekuwa anawanywesha Mawaziri, Wabunge Wakuu wa mikoa Mafuta Matakatifu na kupewa zaidi ya Tshs 5,000,000/= kutoka kwenye fungu la serikali na baadaye kuwapa maelekezo ya kuwafukuza watawala ambao wanakataa mafuta yake huku akiwaifu wanaokunywa .
Tarehe 5/1/2009 Askofu Mukombo alimwandikia Rais Kikwete barua yenye kichwa MAKANISA BANDIA MKOANI MBEYA ikimutaka kuyafungia makanisa hayo huku akimulenga askofu Joshua Mhonzya ambaye alimupokea akitokea Zambia.
Tarehe 30/6/2009 Askofu Mukombo alimwandikia Rais kikwete barua ya kumwagiza awafukuze Wabunge wote wa mkoa wa Mbeya (akimulenga Dr Mwakyembe) ambao wanamchafua Mh John Mwakipesile,kisa kikiwa ni pesa Tshs 5,000,000/ ambayo Askofu Mukombo alimuomba Mh Mwakyembe amuchangie lakini hakupewa!!!
Kwa barua hiyo hiyo anamupongeza Kamanda Kova na Mh Said salimini kwa kuwa wamemulinda mupaka akapata Uraia Mkuoani hapo ,jambo ambalo ni matusi makubwa kwa vyombo vya dola.
NJAMA ZA ASKOFU MUKOMBO KUTEKA WABUNGE NA MAWAZIRI!!
ASKOFU MUKOMBO alikuwa na mbinu kubwa ambapo kila waziri na mbunge aliyemunywesha Mafuta matakatifu alikuwa anaomba contact na baadaye kumwandikia barua ya Pongezi na salamu za sikukukuu au mwaka mpya au pongezi kwa uteuzi.
Baada ya barua hizo , Mawaziri hao wamekuwa wanajibu barua hizo kwa kutumia nembo ya serikali na kuzihifadhi kama rekodi ya mawasiriano na serikali na kujipa uhalali wa kutambuliwa na serikali na kupenya kwenye dola na Ikulu kwa ajili ya Ubunge!!!
Mbinu hiyo ya MUKOMBO ilienda sambamba na kuamua kumuoa mwanmke ambaye ni mufanyakazi serikalini ili apate uahali kwa serikali kwani hofu yake ilikuwa ni uraia na ni kwa sababu hii alianza mahusiano na Greener Mwakabenga (0717 655775) mke wa Abeid Mwamufupe mbunge wa Zamani mkoani Mbeya.
Greener anatabia ya kupora wanaume kwa uroho wa mali na kabla ya hapo Abeid Mwamufupe alikuwa na wanawke sita na Greener aliingilia ndoa hiyo na kufanikisha kuwafukuza wanawake wenzake ambao walikuwa ni wazee sanaa!!.
Wakati Mukombo akiwa na Kanisa pale Pambogo Mbeya, Mzee Mwamufupe na Mkewe Greener walikuwa ni waumini wa Askofu Mukombo huku Greener akifanya ngono na askofu Mukombo kwa siri kubwa.
Greener ambaye alikuwa Mwasibu wa Halmshauri Mbeya alipewa nafasi ya kuwa muweka hazina wa kanisa huku akiwa siginatory wa pesa Benki!!
Muda mfupi Mzee Wamufupe alianza kuugua na kuzidiwa na aliombewa sana na Askofu Mukombo na kabla ya kuzidiwa sana Greener na Askofu Mukombo walianza juhudi za Kuoana huku wakifanya njama za kutaifisha mali za Mzee Mwamufupe ili kuficha mirathi.
Askofu Mukombo alianza njama za kumufukuza mkewe Mary Mukombo ili kufanikisha Ndoa yake na Greener kabla ya Kifo Cha Mzee Mwamufupe.
Baada ya kifo cha Mwamufepe , mazishi yalifanyika huku Mukombo akikamilisha maandalizi ya ndoa na Greener . Miezi miwili baadaye mama yake Mary Mukombo alifariki dunia na kutakiwa kwenda kwenye mazishi DRC Kongo, Askofu Mukombo alisuka njama na kutoa udhuru wa kwenda kwenye msiba huo na kusababisha Mary kwenda pekee DRC na ariporudi alikuta Greener ameolewa na askofu Mukombo tayari na amepewa kuwa mama Mchungaji.
Mgogoro ulianza kati ya askofu Mukombo na Mary kiasi cha Mary kukimbia hapa nchini na Kurudi DRC hadi leo.
HISIA ZA WAUMINI WA ASKOFU MUKOMBO MBEYA NA TANZANIA
Wapo waumini wengi na wachungaji wa Kanisa hilo walihoji uhalali wa ndoa hiyo na kuanza kumushambulia Askofu kuwa amekiuka maadili.
Waliojitenga na Mukombo ni pamoja na Mch Amos (0755 934991),na Mch Mwakabega wa Tunduma na wenzake.
Kutokana na Kashifa hii kutokea Mkoani Mbeya , Greener alisuka njama za Kuhama Mkoani Mbeya na kuhamia DSM ambapo alijikita maeneo ya BOKO mageneni DSM na watu waliomupokea bila kujua ni pamoja na Bi DOROTH MUTASA,na Bi Eliza ambao walimupa Ushirikiano mkubwa hadi huduma yake ikapanda juu.!
UMAFIA WA GREENER MWAMUFUPE DHIDI YA MUKOMBO.
Baada ya kukaa kwa muda hapa DSM, Greener alihamishiwa kutoka Halmshauri na sasa yupo halmashuri ILala na kwa wakati huu ambapo Askofu mukombo amenyanganywa Pasport na serikali ipo hofu kuwa huenda akafukuzwa nchini kutokana na uhalifu.
Uchunguzi umebaini kuwa tayari Greener amemunasa Mukombo kwa kumumilikisha mali zote zake na za Kanisa. Tayari amefunga bemki akaunti zote na kuhamisha pesa hizo katika akauti za Greener na sasa pesa yoyote Mukombo akitaka ni lazime Greener awepo.
Greener alimwambia Mukombo kuwa kwa kuw yeye si raia basi upo uwezakano wa kumunyanganya mali yakiwemo mashamba ambayo anayamiki kwa kuwatapeli watu!!
Pia Greener amemuoza kwa siri motto wake aitwaye Eddy Mwamufupe kwa MUSSA RICHARD ambaye anamuandaa kuwa Akofu wa Kanisa hilo endapo Mukombo ataondolewa nchini na Kwa sasa Mussa Richard yupo Nairobi kihuduma ili kuficha mipango hiyo.
Eddy Mwamufupe alifukuzwa nchini China baada ya kuhusika na ukahaba kwenye madanguro ambapo alihisiwa anafanya biashara za dawa za kulevya.
Hata hivyo Mukombo amekuwa na Uhusiano wa Karibu na Mufanyabiashara mukubwa aitwaye DANCAN .I . KAJOKA (Mtuhumiwa wa madawa ya kulevya)ambaye anatajwa kufanya biashara zake Marekani na Dubai na sasa ndiye amemnunulia gari la kifahari Askofu Mukombo na sasa amepanga kununua VOGI.
Ukaribu wa Mukombo na Kajoka unatajwa kuwa ni mupango wa maandalizi wa kuondolewa hapa nchini!!
Tarehe 15/04/2012 ASKOFU MUKOMBO akiwa kanisani Boko aliwatangazia waumini kuwa usiku wa kuamukia siku hiyo YESU amemtokea na kumwambia siku zake si nyingi hapa duniani na waumini wakashangaa sana!!
Wapo waumini waliomufuata ili kuthibitisha ule unabii aka wambia Yesu atakaye nichukua atawambia mtu mwingine wa kuwasadia!!
Katika hatua nyingine Greener ameandika barua za uchonganishi kuwachochea wale waumini wote ambao walikuwepo wakati wa Mary Mukombo na kupanga njama za kuwafukuza ili aweze kuteka mali huku waumini wapywa wakiwa hawajui historia yoyote , Wanawake hao wa zamani wanaundiwa njama za kufanya ukahaba na baadhi ya barua za tuhuma hizo zimepelekwa wizara ya mambo ya ndani na vyombo vya habari. Tarehe 21/04/2012 wamefukuzwa waumini awamu ya kwanza na na wale wote watakao salimiana nao kufukuzwa pia , hiyo inalenga kuwafukuza wazee wa zamani kwani ni kero kwake.
Siku hiyo hiyo Askofu Mukombo kamutangaza Greener kuwa kuhani mkuu na kila ataye medharau atafukuzwa bila kikao. Watu waliopo pale kanisani wanasema hayo ni maandalizi makubwa ya kubadili madaraka!!
Greener ameunda kikosi kazi cha wanaume ambacho kinafuatilia watu wote ambao wameondoka hapo kanisani ili kujua kama wanatoa siri za Mukombo.
GREENER MWAKABENGA (MKE WA MAREHEMU MBUNGE OBEID MWAMFUPE)

SIKU moja baada ya gazeti la Tanzania Daima kuandika habari ya kupotea kwa Askofu wa Kanisa la House of Prayer Shield of Faith Christian Fellowship, Mulilenge Mkombo na polisi kukanusha, mkewe Gilina Mkombo, amejitokeza na kumuomba Rais Jakaya Kikwete aingilie kati.
Akizungumza na Tanzania Daima Jumapili, GREENER Mkombo alisema familia yake haijui ni kwanini mumewe apewe mateso makubwa kwa kushikiliwa na Jeshi la Polisi ambalo amedai linashirikiana na Idara ya Uhamiaji.
Alisema si kweli kwamba Askofu Mkombo ameachiwa huru tangu Jumatano kama polisi walivyonukuliwa na gazeti hili toleo la jana, bali askofu huyo ameswekwa rumande, kwenye Kituo cha Polisi Tazara, huku akiwa mgonjwa na hapatiwi matibabu yoyote.
Alisema pamoja na kutompatia matibabu yoyote, Jeshi la Polisi limekataa dhamana kwa askofu huyo licha ya mke wake na nduguze kujitokeza kumdhamini.
Aliongeza kuwa baada ya kutomuona kwa muda walipelekewa taarifa na wasamaria wema kuwa Askofu Mkombo ameswekwa rumande katika kituo cha polisi Tazara huku hali yake ikiwa mbaya.
Tulipoelezwa hivi tulikwenda pale Polisi Tazara na kweli tukamkuta, amewekwa rumande, tukazungumza naye akatuambia mambo ambayo kwa kweli yalituacha midomo wazi, alisema Gilina.
Mume wangu aliniambia kuwa baada ya kutolewa gerezani, alipakiwa kwenye ndege ya Shirika la Kenya (KQ) wakipitia Nairobi, Kenya, Ndola, Zambia na baadaye kutua Lubumbashi, nchini DR Congo, kisha maofisa wa Uhamiaji na askari polisi waliomsindikiza wakamtaka ashuke wakimwambia amefika kwao, anasema.
Aliongeza kwa kuwa hakuwa na nyaraka zozote, mamlaka ya DR Congo uwanjani hapo ilikataa kumtambua wala kumpokea, kuona hivyo wakaamua kumpeleka mjini Kinshasa, lakini huko nako wakaulizwa nyaraka zenye mihuri ya balozi wa DR Congo nchini Tanzania lakini hawakuwa nazo hivyo nako akakataliwa ikabidi warudi naye.
Anasema baada ya kukataliwa na serikali ya DR Congo, walirudi naye na baada ya kushuka Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere walimpeleka hadi kituo hicho cha Polisi Tazara na kumtupa ndani anakoshikiliwa hadi sasa bila kupelekwa mahakamani.
Alimuomba Rais Jakaya Kikwete aingilie kati suala hili na kumuokoa Askofu Mkombo ambaye chuki za makanisa zinasababisha ateseke na sasa anakaribia kufa akiwa katika vyombo vya dola ambavyo amedai vinatumiwa na watu wanaolionea wivu kanisa lao.
 
Kumbe huyo jamaa ana makandokando mengi sana. Si ajabu hata hao watu walikokuwa wanafariki alikuwa anawaua yeye kwa kuwapa sumu. Halafu kuna watu wanamtetea bila kujua ni mtu wa iana gani.
Hatari sana, JF idumu aisee. Watu wanakula matakataka kisa siasa hahaha damn.
 
Back
Top Bottom