Mkuu hata kama humpendi zlatan kwa kiwango gan ila kitendo cha kumfananisha uwezo wa zlatan na Giroud inadhihirisha either una chuki binafsi ama hufahamu historia ya zlatan mpaka hatua aliyopo sasa. Sometimes hata kama uko timu pinzan haimaanishi usiwakubali wachezaji wenye uwezo wa timu zingine. Kwa mf, mm ni shabiki wa man utd ila natambua na kukubali uwezo wa juu wa wachezaji wa timu zingine kama Ronaldo, Messi, Neymar, Suarez, Sanchez, coutinho, hazard, grezman na wengine kibao. Kwa hiyo acha chuki binafsi kwa mchezaj ama timu fulan