Ziwekee maneno hizi picha:simba na yanga mjengoni

Ziwekee maneno hizi picha:simba na yanga mjengoni

Dah yanga mnachooonga...haya bwana na sisi tunangoja siku yetu,vipi okwi lakini mmeshamalizana nae au?

Hapana,okwi bado ila mbuyu twite tayari
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Bin Kleb akimkabidhi jezi ya YANGA Mbuyu Twite(Picha kwa hisani ya Bin Kleb)
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Unakumbuka alivyofungwa Simba tu, jaribu kujikumbusha na vipigo vya Yanga. Mara ya mwisho kufika raundi ya pili sijui ni lini

Nyie si ndio mnaodai huwa mnayaweza mashindano ya kimataifa
 
Back
Top Bottom