Ziwekee maneno hizi picha:simba na yanga mjengoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ziwekee maneno hizi picha:simba na yanga mjengoni

Discussion in 'Sports' started by KIM KARDASH, Aug 7, 2012.

 1. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  [​IMG]


  [​IMG]

   
 2. j

  jnuswe JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,271
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  wenye kombe la ukweli miaka miwili mfululizo lazima wawe na nyuso za furaha, na wale waliozoe kuchukua makombe ya mbuzi lazima wawe na nyuso za uzuni
   
 3. paty

  paty JF-Expert Member

  #3
  Aug 7, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,251
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  naona simba wanatia tia huruma tu hapo, na icho sijui ni kibao au ka kibao hako,
   
 4. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Simba bwana!hivi kwanini mashindano ya kimataifa yanawashindaga hawa wanyama ?
   
 5. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #5
  Aug 7, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Hee hivi kumbe Simba walipeleka kile kibao(Ngao ya Hisani) shame on them...
  Wenzao wanapeleka walichovuna kimataifa wao wanapeleka tuzo za mashindano ya ndani,foolish kweliX2
   
 6. mi_mdau

  mi_mdau JF-Expert Member

  #6
  Aug 8, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 563
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Mashindano ya kimataifa yapi unayoongelea? Hilo kombe la afrika mashariki na kati Simba kachukua mara nyingi kuliko timu nyingine yoyote (mara sita), kafika fainali ya kombe la CAF, kafika nane bora ya klabu bingwa ya Afrika, na mara kadhaa hajaishia raundi ya kwanza kama Yanga. Kuchukua mara 2 hilo kombe mnajisahau sasa mnaanza kutukana kaka zenu kwenye upande wa kimataifa?!!
   
 7. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #7
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Huu uzi ngumi zitarushwa ngoja nikae pembeni
   
 8. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #8
  Aug 8, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Huyo aliyeshika Kibao mpaka anaona aibu.
   
 9. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #9
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Mara mbili mfululizo,msijisahaulishe hilo,na pili simba imechukua mara 6 zote ikiwa ni hapahapa bongo,yanga imechukua mara mara moja ikiwa nje ya nchi,nane bora ya club bingwa africa timu ya kwanza kuingia katika ukanda mzima wa afrika mashariki na kati ikiwemo congo ni yanga baada ya kuitoa coffee ya Ethiopia iliyoitoa National al Ahly ya misri kabla ya kukutana na yanga na kuchezea bao 6-0 pale Temeke a.k.a. shamba la bibi,weka kumbukumbu sawa.Kukusaidia zaidi timu ya mwisho kutuabishakwa kupigwa goli nyingi kwenye mashindano ya kikombe ya africa ni simba,mwaka juzi ilichezea 5-0 mbele ya Harras Al Hadood ya misri
   
 10. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #10
  Aug 8, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,731
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  nona upo unaongelea enzi za mwalimu. Pole sn kwa hadithi zako alizokusimulia bibi
   
 11. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #11
  Aug 8, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,966
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Wanasubiri kupeleka lile la ujirani na bonanza super 8.
   
 12. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #12
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  huwezi kuweka picha za namna hii ukasema zitolewe ufanunuzi kwani zimepigwa ktk matukio tofauti(wengine wako kwenye picha ya pamoja kwa kutambulisha kombe bungeni na wengine wamekaa kwa kutulia wakiwa wanasikiliza majadiliano bungeni) japo wote wako Bungeni.
   
 13. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #13
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Simba na yanga ni timu ipi yenye record nzuri mashindano ya kimataifa?hako kakombe ndo kanawapa kichwa ngoja na mwaka huu kwenye ligi kuu muuishie kukamata nafasi ya 3
   
 14. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #14
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  simba imara 5-0 daima inawatesa wanayebo yebo
   
 15. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #15
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Inawatesa nyie,sisi ndio tunajua kwanini kwa nini tulijifungisha siku ile na matunda ya kujifungisha siku ile ndio hiki kikombe cha kimataifa unachokiona na vingine vinakuja,tulijitoa kafara makusudi kwa ajili ya mafanikio ya ukweli.
   
 16. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #16
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Record ipi kwa mfano,yanga wana record ya vikombe tena kwa kuchukua vikombe vya kimataifa mpaka nje ya mipaka ya bongo,simba for more than five years now hawana kikombe chochote cha kimataifa,huo ndio ukweli,tengenezeni timu acheni ujanja ujanja wa kucheza na marefa,kuna mwaka mlimaliza ligi ya bongo kwa kutofungwa hata mchezo mmoja hapa,lakini unakumbuka nini kiliwapa mlivuka mpaka na kuingia rwanda tu hapo kwenye kagame?na baada ya hapo unakumbuka mlifanywa nini na Harras el hadood ya Egypt???kukusaidia tu ni kwamba kwenye kagame hamkushinda mechi hata moja,kwenye champion league ya afrika ndio mkachezea hamsa(5-0)mbele ya Harras el Hadood,hayo ndio mashindano ya kimataifa na jinsi yanavyowatesa.
   
 17. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #17
  Aug 8, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  ukweli ni kwamba wote walipeleka tuzo,tofauti ni kwamba wamoja yao ilikua ni ya mbao then ya just kuifuna yanga kwenye mechi moja na wengine ni kikombe cha kimataifa walichokitwaa baada ya kuzishinda timu zote bora za ukanda mzima wa afrika mashariki na wakiwemo mafundi wa mpira congo,ndio tofauti yetu,thats why unaona hata shangwe baina yetu hapo pichani ni tofauti kidogo,unaweza kuchukua ubingwa usiwe na furaha badala yake ukawa kama mfiwa???hii hakuna dunia nzima,sura za ubingwa wa ukweli hazifichiki hata iweje,uso utaonyesha nuru tu.Jipangeni bwana hizi ngao za hisani sijui kombe la mapinduzi,kombe la malaria na n.k. havitawafikisha popote
   
 18. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #18
  Aug 8, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Simba wajitayarishe mda si mrefu watani wa jadi wa yanga watakua azam
   
 19. I

  Independent Voter JF-Expert Member

  #19
  Aug 9, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 279
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Dah yanga mnachooonga...haya bwana na sisi tunangoja siku yetu,vipi okwi lakini mmeshamalizana nae au?
   
 20. mi_mdau

  mi_mdau JF-Expert Member

  #20
  Aug 10, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 563
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Unakumbuka alivyofungwa Simba tu, jaribu kujikumbusha na vipigo vya Yanga. Mara ya mwisho kufika raundi ya pili sijui ni lini
   
Loading...