Bwana Mapesa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,551
- 1,777
Sasa huyu atakuwa Msukuma aliyeendelea
Sasa huyu atakuwa Msukuma aliyeendelea View attachment 520724
Kashika "nyanya ntole"Samahani Mkuu mbona naona kama vile kwa hapo chini huyo Mtoto wa Kike kaushika kimtindo Mkuyenge wa Mshua hapo?
Hahaha mkuu mambo ya Beach hayo... Sasa huu moto wa Kanda ya ZiwaSamahani Mkuu mbona naona kama vile kwa hapo chini huyo Mtoto wa Kike kaushika kimtindo Mkuyenge wa Mshua hapo?
wewe umeambiwa ni msukuma,kwanza wakurya hawana tabia ya kwenda bichi pili hawana tabia ya kuongozana na watoto wa kikeHuyo ni mkurya
cheka mwishoni
Nimejikuta nacheka japo picha haichekeshi
Mkuu umetisha hapo kwa mkurya hatembei na watoto wa kikewewe umeambiwa ni msukuma,kwanza wakurya hawana tabia ya kwenda bichi pili hawana tabia ya kuongozana na watoto wa kike
sina hakika kama wakurya wana tabia ya kuongozana na watoto wao wakike kwa maeneo kama hayo au kwenda tu beach si rahisi mkurya kumkuta aisee!!Huyo ni mkurya
Wewe wakurya wapyaa kizazi kipyasina hakika kama wakurya wana tabia ya kuongozana na watoto wao wakike kwa maeneo kama hayo au kwenda tu beach si rahisi mkurya kumkuta aisee!!
wangekuwa ngozi nyeupe naamini usingecheka japokuwa picha ingechekesha
Nimejikuta nacheka japo picha haichekeshi
We, unajua misimamo ya koo/mila za Kikurya kweli !!??. Baba akionekana hivyo na watoto wa kike ajiandae kwa pombe ya kienyeji na dume la ng'ombe (Maksai) kwa ajili ya kuchinja ili kuwaomba msamaha watu waloenda jandoni mwaka mmoja. Vinginevyo atatengwa na rika na ukoo wake.Huyo ni mkurya
unawaonea tu kiongozi labda kama kuna shida nyingine lakini mkurya umkute beach au kaongozana na wanae kwenda huko!! mmmhhh!!Wewe wakurya wapyaa kizazi kipya
Wewe koma, Ukuryani hakuna ZiwaHuyo ni mkurya
Dina unalazimisha sasa...ngosha huyu mamanguWewe wakurya wapyaa kizazi kipya