hakuna ziwa mwananyamala.labda useme bonde mwananyamala.
'duh,wee jamaa unabishana na google asee si mchezo ndugu yangu...'
Nimekuwa nikisoma Historia ya jiji letu la Dar, naona kwamba kuna Ziwa Mwananyamala lililoko Mwananyamala, sasa nashangaa kwa maana ktk maisha yangu yote sijawahi kusikia kwamba Mwananyamala kuna Ziwa!
Je kuna mtu anafahamu juu ya hili, au kuna ambaye ameshawahi kuona Ziwa Mwananyamala kwa wanaoishi huko? na liko Mwananyamala sehemu gani?
Mimi mwenyewe kukua kwangu kote nimekuja kujua ziwa mwnyamala baada ya kuanza kutumia google map lakini siku zote nilikuwa najua kuna bwawa.Labda wataalamu wa hydrology waje watutofautishie kati ya bwawa na ziwa.Kumbuka hao google nao ni binadamu.