zitto

zitto

yalimoz

Senior Member
Joined
Jul 22, 2015
Posts
179
Reaction score
6
act wazalendo mkoa wa kigoma ni balaa! kazi ya zitto imeonekana! hakika kwa utafiti niliofanya lazima zitto atakuwa mbunge kigoma mjini. najua mahasimu wake mtabisha lakini ukweli ndo huo! asipo shinda kwa jinsi navyoona upepo wa kisiasa ulivyo hapa kigoma mjini, mimi ntatembea uchi kutoka ujiji hadi mlole! nawasilisha.
 
Mmawia fika haraka hapa,mbaya wako katajwa.
 
Last edited by a moderator:
Tembea uchi uone wanavyo kusodoma! Zitto mwenyewe alikwishasema usimwamini mwanasiasa. Wewe umefikia hatua ya kubet mkundu!? Ama kweli mahaba mabaya.

Hahaaa, bora nimeanza cku na kicheko, eti jamaa anataka bet makalio?
 
act wazalendo mkoa wa kigoma ni balaa! kazi ya zitto imeonekana! hakika kwa utafiti niliofanya lazima zitto atakuwa mbunge kigoma mjini. najua mahasimu wake mtabisha lakini ukweli ndo huo! asipo shinda kwa jinsi navyoona upepo wa kisiasa ulivyo hapa kigoma mjini, mimi ntatembea uchi kutoka ujiji hadi mlole! nawasilisha.

Sema mengine maana kutembea uchi kwako ni kawaida,tangu lini ukamuona kichaa kavaa nguo?
 
Tembea uchi uone wanavyo kusodoma! Zitto mwenyewe alikwishasema usimwamini mwanasiasa. Wewe umefikia hatua ya kubet mkundu!? Ama kweli mahaba mabaya.

Watu wameshajipanga tayari tayari maana hawatakuwa na kesi ya kubaka
 
Mmawia fika haraka hapa,mbaya wako katajwa.

Mkuu huyo aliyeamua kujiweka sokoni kwanza inabidi sheria ya mtandao ichukue mkondo wake maana katumia mtandao kutangaza biashara zake
 
Last edited by a moderator:
Tembea uchi uone wanavyo kusodoma! Zitto mwenyewe alikwishasema usimwamini mwanasiasa. Wewe umefikia hatua ya kubet mkundu!? Ama kweli mahaba mabaya.

Kweli ma MODS muko biased kweli, majuzi tu nilimwandika Magufuri pimbi mkanipia bann,jana mtu katia uzi eti mgombea mmoja alijinyea stand ya Geita mkaiacha tu, hebu angalia na hii imekaaje?
 
Tembea uchi uone wanavyo kusodoma! Zitto mwenyewe alikwishasema usimwamini mwanasiasa. Wewe umefikia hatua ya kubet mkundu!? Ama kweli mahaba mabaya.
Eti amebet ninii?? 😂😂😂😂😂😂 kwa mkeka upi sasa..
 
nyankole wewe ni mwehu siku nyingi tunakujua! ndo maana umesema mkundu sikushangai. nilikuwa sijui kama na wewe upo jamiiforum. jaman tuwe wapole maana jukwaani kuna vichaa tayari. nyankole usijali zitto atapita tu kisha utafanya mpang wa kukupeleka hospitali ya vichaa! utapona usijali.
 
Back
Top Bottom