Ana siku kumi tu zakuendelea kuwa mwanachama wachadema au mpinzani wachadema
Ndio maana wengine tunaamini Zitto ana lake jambo.Hakuna jambo analofanya linaloonesha collective responsibility zaidi ya kujijenga yeye binafsi.Kwa nafasi yake lazima anajua siri na mambo mengi ya chama lakini hizo haziwezi kuwa silaha ya kuogopwa kama mtu unatumwa na dhamira safi.
...Mzee una akili sana mkuu..heko kwako....Tumaini makene na CDM wote chukueni ushauri huu...hapa mtafunga mwaka CDM ikiwa juu..kama tungekua tunaendesha polls CDM ingekuwa juu sanaTHIS IS THE BIGGEST OPPORTUNITY FOR CHADEMA
nawashangaa watu wote wanaomsupport zitto. hoja zote zinazojengwa na hao watu ni kwa ku-ignore the fact that mipango yao ya siri ilikua na backup ya CCM. sasa unategemea nini kwa zitto kushika madara ya juu CHADEMA chini ya usaidizi wa CCM. ni mtu mwenye akili fupi tuu ndio hataelewa hili.
1. Idea for suporting zitto was introduced and promoted my CCM. and then zitto knew it and he accepted the deal
2. Strategic plans and set up was done by Kitila Mkumbo and Mwigamba.
3. FINANCIAL BACKUP, INTELLIGENCE SERVICES, AND PLANNED STRATEGIES WERE EXECUTED BY CCM AND SOME OF TISS MEMBERS
hawa wote wanaojitetea... wanajitetea kwa kutokana na hiyo point no 1 and 2. lakini kwa ujanja wao na upotishaji wao wa maukusudi wanafunika hiyo fact no 3
Zitto must be complitely terminated...
ACTION PLAN A = Kumvua madaraka = pre-emptive strike.
1. hao akina zitto na team yake wanachofanya sasa ni kuhakikisha chadema haiwavui uanachama. kuto mvua zito uanachama itakukua ni ushindi kwa zitto.. na ataendelea na mipango yake miovu ya kukiharibu chama....kwa maana atakua ndani ya chama bado...
2. kuto mvua uanachama zitto kutafanya aanze kukusanya wafuasi ndani ya majukwaa ya chadema waziwazi na hatimae kuharibu chama kabisa.
3. akiachwa atajifanya mwaminifu sana na mwenye nia njema... (hii ataifanya pia kwa ajiri ya kudaka wafuasi wake wengi zaidi)
ACTION PLAN B = kumvua uanachama = must be the target action to take
. Lazima mtu huyo asiwe mwanachama wa CHADEMA tena atahaha kwa muda lakini hatakua na effect.. safi sana CC kwa kumpa 14 days-days ambazo watu wengi tayari tumeshajiridhisha kua huyu jamaa sii mwema kabisa.
FAIDA ZA ACTION B
1. CHADEMA itajidhihirisha kua kweli wako serious na kwa maana hiyo wataingia madarakani kwa kishindo kikuu.. na kwa ouga wa hali ya juu... watu wataacha ufisadi na ujinga wote (irresponsibility) ndani ya serikali.
2. viongozi na wanachama wote wa CDM watakua moyo mmoja with one passion, one vision and one mission kuhakikisha kua chama kinashinda uchaguzi.
mamluki hawatakua na nafasi tena... na kila mamluki ataweza kumulikwa kirahisi sana.
3. hakutakua na lelemama tena.. kila iliye chadema atakua very serious na majukumu ya kichama na kitaifa.
4. CHADEMA wataingia madarakani wakiwa ni wamoja ready for drastic development of this nation.
Huyo jamaa ana roho wa kiburi, roho wa kujigamba, roho wa misifa, roho wa ubinafsi(u-mimi), roho ya dharua na USALITI
NCHI HII MUNGU HATARUSU KUSHIKWA NA WASHIRIKINA, WANAMITANDAO, WACHEZA RAFU NA WOTE WANAOAMINI KATIKA UCHAWI. WALE WOTE WANAOABUDU SHETANI KWA KUPITIA WAGANGA WA KIENYEJI. NCHI HAITASHIKWA TENA NA WATU WA MAZINGAOMBWE
Kama ndivyo, ndio maana inasemwa huyo jamaa ama hajakomaa kisiasa au sio mwanasiasa mahiri kama anavyotaka jamii imwelewe. Alikuwa na hasira na chama? Bahati mbaya kwake kakutana na visiki; kwa nini Slaa kamwachia Mnyika amjibu? Hizi siasa zina wenyewe Mkuu. Ukiingia kichwa kichwa au kwa mihemuko au kwa kiburi utajiumiza mbaya.
Very well said Vuta Nikuvute. Huyo Zitto alishupaza shingo muda wote aliposhauriwa na sasa shingo imevunjika, atajuta.Ukiendelea hivi hautafanikiwa kamwe. Hautafika mbali.Utaishia njiani. Hutapata utakacho. Tafadhali tafuta Mshauri wako mbobezi wa mambo ya kisiasa ili awe anakushauri kabla ya kuamua. Bado hujitoshelezi kisiasa. Kweli kabisa. Labda kiuchumi-kwakuwa nawe ni mchumi.
Lakini, Mshauri hakwepeki. Shauriwa kwanza;amua baadaye.
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Yericko,
Zitto anaweza kuwa mbaya kwa sasa, lakini anaweza kuwa asset kubwa kwa chama pia baada ya haya. Msilenge katika kurudi nyuma, kuna nafasi kubwa sana ya kurekebisha haya na mkasonga mbele. Kama ndani ya mioyo yenu hamna nafasi ya kusameheana na kurekebishana basi hamfai kanisani, hamfai misikitini na hamfai Tanzania pia.
Naona huelewi msingi wa ukweli na uwazi. alichokifanya ZZK na Kitila ndio sahihi wananchi wajue yanayojiri ndani ya chama hicho wakielewe vizuri wakihukumu kwa haki na siyo unafiki. Mambo ya kubebana ,kufichiana siri na zidumu fikra sahihi za mwenyekiti (HATA KAMA SIYO SAHIHI )yako CCM ndio maana kimepoteza umaarufu kimebaki kinanunua wananchi kwa fedha. BIG UP ZZK NA KITILA KWA UKWELI NA UWAZI. Wamelianzisha sasa ni mbele kwa mbele. hatishwi mtu hapaUkiendelea hivi hautafanikiwa kamwe. Hautafika mbali.Utaishia njiani. Hutapata utakacho. Tafadhali tafuta Mshauri wako mbobezi wa mambo ya kisiasa ili awe anakushauri kabla ya kuamua. Bado hujitoshelezi kisiasa. Kweli kabisa. Labda kiuchumi-kwakuwa nawe ni mchumi.
Katika Mkutano wenu na Waandishi wa Habari juzi,hukupaswa kutaja tuhuma zote zilizojadiliwa ndani ya Kamati Kuu. Kutaja tuhuma zile ni kutoa siri za vikao nje na kujitetea pasipostahili. Sasa ulipojibu pale tuhuma moja baada ya nyingine ulikuwa unamjibu nani? Ili iweje? Kwa ajili ya kumbukumbu gani?
Ndugu Zitto, yawezekana unachokiamini kuwa una uwezo wa kuongoza chochote popote hapa nchini ni kweli. Lakini,imani yako isikuendeshe. Nenda nayo taratibu. Utafika tu! Ukiruhusu machagizo ya vyombo vya habari kukukimbiza mbio kuelekea unapopataka,utajikwaa;utaanguka na kuumia.
Siku ile, ungesema hivi tu: " Nayaheshimu Maamuzi ya chama changu. Nitayamaliza mambo haya kwa mujibu wa Katika na Kanuni za chama changu. Na kwasasa, sina mpango wa kuhama toka CHADEMA.Hatoki mtu hapa." Basi.Ungesubiri maswali na halafu uyajibu. Hapo, ungepata wasaa mzuri wa kuelezea kwa makini na uangalifu mkubwa mambo yako. Watu wangeshangaa.Wangekusifu. Kukosekana kwa Mshauri kumekufanya uongee mengi yenyemshiko haba.
Itoshe kusema kuwa, Zitto Zuberi Kabwe ni mwanasiasa. Bado yuko safarini.Safari ya mafanikio zaidi. Lakini,anapaswa kuwa makini.Aongee kwa kuchagua maneno;kuzingatia hadhira na kuuchuja ujumbe. Achangamane na wenzake chamani. Wawe kitu kimoja. Wasonge mbele. Lakini, Mshauri hakwepeki. Shauriwa kwanza;amua baadaye.
Kila la kheri katika siku zako 14 za utetezi. Yatakwisha tu haya. Wajibu waliokutuhumu. Sisi tunasubiri matokeo tu.
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Mtei ndio pkee mwenye chama mamlaka ya kuchagua viongozi wa chadema
Viongozi wanakerwa na kitendo cha mtei kuwachagula viongozi utadhani ile ni kampuni yake binafsi
Mtei ndio pkee mwenye chama mamlaka ya kuchagua viongozi wa chadema
Mzee Tupatupa wa Lumumba, nakuheshimu sana kiongozi wa chama chetu. Huu ni ushauri mzuri sana kwa jamaa. Kuretreat ni sehemu ya vita.
Viongozi wanakerwa na kitendo cha mtei kuwachagula viongozi utadhani ile ni kampuni yake binafsi