Leo asubuhi Mh. Zitto kamchachafya kidogo spika wa bunge
Zitto: Mh. Spika kuna kiti kiko wazi kwa maana kwamba mwenzetu mmoja ameamua kubwaga manyanga kwa taarifa tulizonazo. Sasa tungependa kujua kama ushamwandikia barua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi kumjulisha aitishe uchaguzi ili tukachukue jimbo letu.
Spika: Hata mimi hizo habari nimezisikia kwenye mtandao tu bado sijazipata rasmi, kwa hiyo usitupotezee muda.
My take,
Chadema wanataka jimbo, je itawezekana??
ANA UGILIGILI. Ni ugonjwa wa wanawake au wanaume waliokosa huduma ya muhimu ya jinsia tofauti muda mrefu.nini kuna maswali matatu yananishanga kuhusu huyu mama
- ana watoto ? tabia zake kama wale wasio na watoto wanapenda sana kugombagomba
- ana mume naona kama nakosa hudumu muhimu ?
- ni dikiteta? ana heshima na watu kweli?
Spika: Hata mimi hizo habari nimezisikia kwenye mtandao tu bado sijazipata rasmi, kwa hiyo usitupotezee muda.
QUOTE]
Huwa wanasema dawa ya moto ni moto, lakini naomba niseme dawa ya moto ni maji na ndio maana moto ukitokea magari ya zima moto yanakuja na maji. Mama Makinda kutimia maneno 'usitupotezee muda' ni kelelezo tosha cha kufilisika kwa busara na quality katika leadership kitu ambacho kinaishushia hadhi bunge. Kama hajapata habari rasmi kuhusu kujiuzulu kwa mbunge angeweza kujibu swali KISTAARABU bila kutumia huu 'UHUNI' nasisitiza ni UHUNI aliotumia.
Usitupotezee muda!- nani? anawaongelea nani hapa?
Na wewe uliyeanzisha hii thread naona kama unatupotezea muda tu. Kiutaratibu CHAMA lazima kiridhishwe na maoni ya Rostam Aziz ya kujiuzulu nyadhifa zake kabla ya kuiandikia barua Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambao kimsingi ndiyo wenye mamlaka ya kutangaza uwazi wa jimbo. Taarifa zilizopo ni kuwa Mwenyekiti wa Taifa wa CCM hajaridhia kung'atuka kwa RA, kupelekea uwezekano mkubwa wa kuendelea kuhodhi kiti chake. Lakini hata kama itatokea vinginevyo, ni ndoto za mchana kwa CHADEMA kushinda hilo jimbo na wala wasianze kuhesabu mayai kabla hayatotolewa.
Kamjibu Vizuri sana kazidi kutafuta Umaarufu Binafsi! Hongera Makinda! Good!
tuambie basi ulichosikiliza ma kauli iliyotolewa na makindaNaweza sema sentesi ya "usitupotezee mda" mleta thread kachapia.
Mweneye nilikuwa nasikiliza but hiyoo kauli hajatamka
Kwa upande mwingine bibi kiroboto anaendesha bunge kwa mipasho, alafu anachekacheka tuu...yaan mbunge anauliza swali yeye anatoa kicheko cha kebehi.
Tutaona mwisho wake
anapotezewa muda kivipi'Ni kweli Rostam ameachia ngazi lakini ni lazima aandike barua rasmi ofisi ya Bunge kama barua bado haijafika basi Spika amejibu vizuri, tuache ushabiki usio na maana.