TUNATAKA WAZIRI MKULO AJE HADHARANI ATAMKE WAZI WAZI KWAMBA:
1. Serikali haijakopa Benki ya Exim na nyinginezo kwa ajili ya recurrent expenditure. Hapo ndipo tunamwona Mh Zitto ni mwongo.
2. Kama ni kweli Serikali Imekopa kwenye Local Banks for whatever reasons, wanalipa riba ya asilimia ngapi, na hiyo mikopo ni ya muda gani?
3. Je wanafanya nini ili kutokurudia makosa wanayofanya sasa, na what went wrong mpaka hali hii imetokea and what action did they take to the perpetrators?
4. Taarifa ya CAG inaonyesha mapungfu makubwa mno ya udhibiti wa matumizi ya serikali. Je wanaendeleaje ku-dish pesa kwenye Wizara na taasisi nyingi ambazo hazija account pesa nyingi sana, kinyume na taratibu za kawaida za kifedha?
TAHADHARI:
1. Waziri atambue kuwa wananchi hawafurahii jinsi Seriali ya sasa inavyoendesha mambo yake, kuendelea kupiga propaganda kwenye mambo nyeti kama haya ni kuwadharau wananchi waliowaweka madarakani.
2, Tunamka atoke taarifa zenye ukweli mtupu, bila kupindisha kwa kuogopa madhara ya kisiasa, maanda ndio uwajibikaji.
3, Kama walipa kodi tunastahili kujua mapato na matumizi ya pesa zetu, sio hiari yao bali ni mkataba wetu kati yao na sisi, hivyo nilazima wautelekeze mpaka nukta ya mwisho.