Zitto, unatuachaje?

Zitto ndo huyo tena.... Mi nataka kuanzisha chama cha malaika walio duniani.
Kitaitwa Alliance of Angels.. (AA). Natafuta katibu mkuu

Mingoi anatafuta kazi. Lowassa kamtapeli, mwombe apate japo vi nauli vya daladala
 
Last edited by a moderator:
Basi ubungo kwa mnyika katimiza ahad mia kwa mia maji yatoka kila kona sasa
 
ACT nichama cha kitaifa si chama cha kikanda.
 
Hapana mkuuu sijapanic nisalmie dr slaaa mwambie ansalimie shemej yetu
 
Sisi tunataka hospitali siyo ambulance ya kutupeleka Maweni Hospital- Kigoma mjini.
Tunataka suluhu la kipindu pindu baaas. Maswala ya ACT sijUi Chadema..... Is non of our business!
 
Sisi wana wa jimbo la Kigoma Kaskazini?
 

Mkuu asante kwa kunirudisha shuleni, unanikumbusha sentesi za '' Ambiguity and Irony''
[h=2][/h] [h=2][/h]
 
Siku zile alipokuja jimboni kutangaza mengi ya kuchia ngazi ndipo mngempata vizuri sana

Labda amekusoma leo
 
manu, wewe ni mpuuzi tu unakaa kutunga majungu yasiyo na msaada wowote, kumsemasema zitto unafaidika nini?
hata kigoma yenyewe unaifahamu vizuri?
unakalili barabara ya mwandiga to manyovu, vip mwandiga to kidahwe ni jimboni kwako, visima vilivyochimbwa wewe ndio uliyetoa hizo fedha? wewe ndiye uliyepigania Uwanja wa ndege kujengwa Kwa rami? baadhi ya watoto wasiojiweza ulikuwa unawasomesha wewe? n.k
acha upumbavu
 
Kigoma kaskazini muwe nashukurani kahena ameka miaka mingapi hapo aliwasaidia nini zitto amewasaidia sana hebu mshukuru acheni Siasa
 

Kigoma Kaskazini hatuna uwanja wa ndege.
Kusomesha wakati watoto wetu wanafeli kwa zaidi ya 60%?
Mwandiga to kidahwe sio lami!
Na wewe ni wa kukariri.
 
Kigoma Kaskazini hatuna uwanja wa ndege.
Kusomesha wakati watoto wetu wanafeli kwa zaidi ya 60%?
Mwandiga to kidahwe sio lami!
Na wewe ni wa kukariri.

Majungu yako kwa Zitto hayakusaidii kitu! Sisi watu wa Kigoma na watanzania wengi bado tunampenda na tunamuhitaji Zitto aendelee kutuwakilisha bungeni, wewe mrundi rudi kwenu ukajenge nchi yako.
 
Kwani maweni ni Hospitali ya jimbo au hopt ya Rufaa mkoa?Unaoishi kigoma ndo tunaujua umuhimu Zitto.
Sisi tunataka hospitali siyo ambulance ya kutupeleka Maweni Hospital- Kigoma mjini.
Tunataka suluhu la kipindu pindu baaas. Maswala ya ACT sijUi Chadema..... Is non of our business!
 
Achakuishi kwa chuki,acha wivu wakike,acha kuropoka,acha kujidhalilisha kwa watu juu ya ufinyu wa elimu yako,acha kuwadhihirishia watu kuwa IQ yako ni fupi kama mkia wa mbuzi.Acha.....
Kigoma Kaskazini hatuna uwanja wa ndege.
Kusomesha wakati watoto wetu wanafeli kwa zaidi ya 60%?
Mwandiga to kidahwe sio lami!
Na wewe ni wa kukariri.
 
Mkuu ukishamaliza hii ya Zitto tuamie kwa Hawa makamanda.

1) John Mnyika

2) Joseph Mbilinyi

3) Godbless Lema

4) Wenye

Hawa nao wamewaachaje wapiga kura wao.

kwani wao wametangaza kuyakimbia majimbo yao?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…