manywangari jean malonkwa
Senior Member
- Mar 17, 2016
- 193
- 188
Jana ktk mahojiano na waandishi wa habari, nilimskia Zitto akilalamika kuwa haya yanayofanyika sasa hayakuwepo miaka 10 iliyopita.Lkn pia CDM nao wamelalamika hasa baada ya kuzuiliwa kufanya mikutano japo wao naona wameamua kufungua kesi, kitu ambacho ni kizuri kama njia mojawapo ya kudai kile wanachohisi hakiendi sawa.
Lkn pamoja na yote ukweli hawa watu hawakujipanga na ujio wa serikali mpya, lkn pia inaonekana walimchukulia poa Magufuli, hawakudhani kuwa angekuwa master wa siasa kiasi hiki, sasa ndo wanashituka. Labda niseme kitu, ukiangalia serikali ya Magufuli ina aina mbili ya watu, watu wa kazi( mhongo, Ndalichako, Mbalawa, Mpango na wengine) lkn kuna nguli wa siasa wanaonekana kuwa nyuma ya serikali hii ambao wanawachezesha sindimba kina Mbowe, Zitto na wenzao, hivyo lazima wajipange kweli kweli.
Kitu cha pili ambacho wamenishangaza hawa jamaa ni kama sio wanasiasa, wanachokifanya CCM ndo siasa zenyewe, Kikwete alifanya siasa zake, Pombe Joseph anafanya za kwake, hapa ninachotaka kusema akina Mbowe, Zitto wafanye siasa kulingana na wkt na jinsi CCM wanavozicheza ili kukabiliana nao, wanalia lia kuhusu Tulia, Tulia anafanya kazi yake 100% waliomchagua hawakubahatisha, mnavolia lia na kukimbia bunge mnampa credit Tulia kuwa kazi aliyopewa anaiweza na pengine 2020 anaweza kuja kuwa spika wa pili mwanamke, CCM ni chama tawala lazima kifanye kila linalowezekana kuendelea kuwa hivo. Na kufanya hivo lazima kitumie watu.
USA ni taifa linaloonekana kuendelea duniani kwenye utawala wa Kidemocrasia lkn angalia siasa zao za kimataifa, wkt wakimuandamaa Bashar, hao hao wamekaa kimya dhidi ya Saudia Arabia, ndo hawa walimsuppport Rais wa sasa wa Misri kumpindua Mohammed Mursi aliyekuwa amechaguliwa kidemocrasia na wanaendelea kumumiminia pesa hasa kwenye ulinzi. Kama Urusi na China wangekalia kulia lia dhidi ya siasa za USA kimataifa Leo wangekuwa wapi? Walichokifanya hawa nao ni kufanya siasa za kimataifa tofauti na zile za Marekani mwisho wa Siku kuna heshima.
Hivyo Zitto na UKAWA badala ya kulia lia na kumkimbia mwanamke yule, hebu jipangeni fanyeni siasa kulingana na wkt, awamu hii niionavyo si rafiki kwa siasa za harakati, wenzenu wapo kimkakati, lazima na nyie mbadilike sasa, acheni uharakati fanyeni siasa sasa.