Fantastic!
KIla siku mtu anasimama kukosoa lakini hana hoja mbadala. Uko sahihi, thumb-up! Wanaishia kutoa statement za jumla eti mazingira ya biashara ni mabaya. Sema nini kiondolewe ili umma uone uhalali wa malalamiko yako! Yaani mtu anafikia hatua anataka asilipe kodi, biashara ikue. Anasingizia amewaajili watu wengi. Halafu ukiuliza waajiliwa wanalipwa ngapi, elfu 80 au laki moja! Stupid!