Zitto tuambie mchango wa Kigoma

Mijitu mingine tabu tupu, sasa ulitaka aseme yapi? Aliyofanya kwa pesa zake au? Haya katoa ambulance mbili kama Mbowe, au na hilo ni marekani wametoa

Unaweza kukuta eti nawewe una families,hivi sihuyu ayatollahs aliyesema hatagombea Ubunge kigoma anataka Urais?.Kwahiyo ndio anakuja Kigoma kugombea Urais?.eti kaleta maendeleo Kigoma'yapi.Na Kafulila je?.Siwezi kumwamini wala kumsikiliza tena Zitto kwa sababu najitambua, msikilizeni nyie wanywa kahawa za shs hamsini
 


Tena kaskazini mkae kimya kabisaaa, mmependelewa na awamu zote kuanzia kupewa mawaziri kwenye wizara nyeti km fedha, nishati, waziri mkuu na nk. huko kuna bara bara za Rami mpaka vijijini, mwaka 2002 umoja wa nchi za ulaya ulitoa pesa za ujenzi wa barabara Nyakanazi mpaka kigoma kusaidia sehemu athari za wakimbizi, lakini fedha hizo Mheshimiwa Mramba alizipeleka ROMBO-TAVETA lkn wana kgm walikaa kimya, tunamshukuru Rais Kikwete kwa kuwakumbuka kigoma na Rukwa.
 
Mimi Ninaamini katika kipindi cha ubunge wa zitto kigoma imetendewa haki . katika kipindi cha miaka 9 mabadiliko yapo. Barabara. Stand. Bei ya kahawa iko vizuri . mimi kam mtu wa kgm naona ni bora zzt kuliko aliye mtangulia alumeshi mayonga kahena.
Kwa siasa za ubaguzi za Zitto haiti haki hiyo anasema maendeleo yanapaswa sehemu inayochangia pato la Taifa sasa Kigoma haipo hata top 15! Huwezi sema imetendewa haki wakati Shinyanga na Mwanza zimesahaulika! Muache unafiki wakigoma kuikamia Kilimanjaro na Arusha wakati wapo ndani ya top 10 kwenye pato la Taifa Arusha ikiwa ndani ya top 5!
 
Mimi sijawahi kukubaliana na kauli ya zitto kuhusu mgawanyo wamaendeleo kulingana na pato la mkoa.nilikuwa najibu Alicho kifanya kigoma ambacho kinaonekana
 
Zito kwa sasa hana credibility ya kutusemea watanzania,yeye mwenyewe ana kashfa ya kuvuta mipunga
 
kaka/dada leo hii tanzania tuna miaka 54 ya uhuru ukilinganisha lasirimali zetu tulizonazo kushangaa kigoma kuwekewa rami na umeme unakuwa kama ni zuzu flan hivi kwan haya mambo yote yalitakiwa kuwepo mda mrefu na siyo kuyaona kama maajabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…